Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
Yani tuzipite nchi nyingine za Africa ambazo zina maendeleo kuliko sisi? Kwanini usijifananishe na waafrika wenzako?(apple to apple?)Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
Mkuu JMushi, mimi sio mtu wa political science bali mimi ni realist ninayesema kitu kilichopo, kilichopo ni CCM imeshinda serikali za mitaa nchi nzima, hivyo sasa serikali za mitaa ziko chini ya chama kimoja. Uchaguzi wa 2020 kazi ya kurejea chama kimoja inakwenda kukamilishwa kwa Bunge la chaYani tuzipite nchi nyingine za Africa ambazo zina maendeleo kuliko sisi? Kwanini usijifananishe na waafrika wenzako?(apple to apple?)
Libya yenyewe pamoja na Gaddafi kuondolewa bado uchumi wao uko juu yetu. Je ungependelea tuwe kama Libya?
Kujifananisha na China ni uzembe wa hali ya juu. Nitolee mfano wa nchi ya Africa iliyopata maendeleo kwa mfumo huo wa China na wakawa salama.
hapo umenipata vema! Ukiwa mahakamani usipokuwa mwangalifu wakili mkorofi anakuuliza maswali una loose focus, amekupata!Mtu hype sensitive
Njaa inakusumbua stay focused on big picture. Walijiandikisha Wakagombea kwa masharti yale yale,lakini waliposhindwa kujaza form wakàruhusiwa kuendelea na uchaguzi,ghafla wakaweka mpira kwapwani.Wewe mpuuzi kweli. Sasa wangeshirikije wakati wagombea wao zaidi ya asilimia 90 walienguliwa? Ulienda shule kweli wewe?
Maana yake ni kwamba kama wagombea hawataenguliwa watashiriki. Wakienguliwa kama ilivyokuwa kwa serikali za mitaa utataka washiriki uchaguzi hewa?
Upinzani usiouchwara ni UPI?kwa Upinzani uchwara kama wa Chadema, CUF, ACT na nccr bora tubaki na chama kimoja tu
Maendeleo ni tafsiri pana labda kama unazungumzia madaraja,barabara na vitu vitakavyotoweka once machafuko yakitokea.Mkuu JMushi, mimi sio mtu wa political science bali mimi ni realist ninayesema kitu kilichopo, kilichopo ni CCM imeshinda serikali za mitaa nchi nzima, hivyo sasa serikali za mitaa ziko chini ya chama kimoja. Uchaguzi wa 2020 kazi ya kurejea chama kimoja inakwenda kukamilishwa kwa Bunge la cha
Kimoja CCM.
Kwa vile tangu enzi za Mwalimu Nyerere sisi Tanzania tunafuata China modal, Tanzania ya Magufuli ya chama kimoja from 2020, tutapata maendeleo kama China.
P
Jibu swali jepesiJiandaeni kupata ushindi wa bila kushinda.
Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
Ni kweli ila hawa wenzetu rangi ya kijani wanadhani majanga yanatukuta wapinzani tu ila hawafaham kuwa linalo mkuta mamba mtoni hata kiboko litamkuta.Mi nadhani upinzani tuelendelee na huu msimamo wetu wa kususia chaguzi. Nashauri hivi vyama vilivyosusia uchaguzi wa serikali za mtaa viendelee kususia hadi uchaguzi mkuu mwakani ili tuionyeshe CCM kwamba tuna mtaji wa watu wengi nyuma yetu. Hii itamfanya JPM na serikali yake kupita kiulani ili aendelee kuwaletea maendeleo watz wote tukiwemo na sisi wapinzani tuliosusia pamoja na wafuasi wetu. Kwa sababu kama vyama sita vikijitoa kwenye uchaguzi kuna vyama vilivyosalia vitashiriki tu tupende tusipende.
Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
Tanzania haiwezi kuwa kama China hata siku moja, "mind set", za watu wake ziko tafautiNext ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
We unadhani ni kwanini mwalimu Nyerere aling’atuka?Mkuu JMushi, mimi sio mtu wa political science bali mimi ni realist ninayesema kitu kilichopo, kilichopo ni CCM imeshinda serikali za mitaa nchi nzima, hivyo sasa serikali za mitaa ziko chini ya chama kimoja. Uchaguzi wa 2020 kazi ya kurejea chama kimoja inakwenda kukamilishwa kwa Bunge la cha
Kimoja CCM.
Kwa vile tangu enzi za Mwalimu Nyerere sisi Tanzania tunafuata China modal, Tanzania ya Magufuli ya chama kimoja from 2020, tutapata maendeleo kama China.
P
Ila Pascal kweli wewe umebobea kwenye uandishi, hongera saaana .Wenye akili tumekuelewa.Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
"Watch dog" atakuwa nani ili tufikie hayo maendeleo kama nchi badala ya kuneemesha wachache?Next ni uchaguzi mkuu 2020, CCM inakamilisha kazi, kwa Tanzania kurudi kuwa nchi ya chama kimoja, kazi sasa itakuwa ni moja tuu, maendeleo kwa kwenda mbele, kama ilivyo China. Hizi kelele za upinzani ni so distractive ndio zimekwamisha maendeleo, baada ya 2020, Tanzania kupata maendeleo kama China.
P
Umesema jambo la akili ya juu sana! Particularly nchi zetu za mashimo ya vyoo ambako serkali inakandamiza upinzani kwa mtutu wa bundukiWapi upinzani bora ulianzishwa from day one ukawa bora 100%
Katiba haiwezi kuja hivi hivi, kwa kuiomba toka kwa viongozi wa ccm, walikamia kukaa madarakani kwa gharama zozote. Katiba lazima ipiganiwe ikibidi kwa maisha . Ili wajukuu zetu wasikutane na utumwa huuDawa ni Katiba mpya. Bila Katiba mpya CCM itatawala milele na milele.