FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Haya, ukoo wenu unashika namba 14 kwa kuwa na mashoga nchini, na usiniulize nimetumia kigezo gani kuwapa hiyo rank...Bado hamtaki kukubali ukweli?Siasa zenu zinaua Elimu alafu mnauliza vigezo vya ranking? Tanzania Tena kwenye maajabu ya Dunia
Comment Yako ni yaliyoujaza moyo wako.Haya, ukoo wenu unashika namba 14 kwa kuwa na mashoga nchini, na usiniulize nimetumia kigezo gani kuwapa hiyo rank...
Lini mkuu mbona uzalendo ukizidi unaonakana useless, haijawahi kutokea Udsm kua top 10 African university labda unamanisha makerere nchini uganda.Nakumbuka enzi nasoma udsm ilikua haitoki top ten... Kuna kipindi ilikua hata top five unakuta ni vyuo vya south Africa, egypt na Udsm ndani.... Nowadays mambo yamebadilika ni uchawa tu nasikia hata level square hakunaga...
Mkuu miaka kumi na nne iliyopita udsm ilikua haitoki top ten na sio top ten tu hata top five ulikua pia ilikua inaingia... Kuna kipindi Makerere walikua wachumba sana kwa udsm... Tafuta source za miaka hiyo utaona mkuuLini mkuu mbona uzalendo ukizidi unaonakana useless, haijawahi kutokea Udsm kua top 10 African university labda unamanisha makerere nchini uganda.
Lini mkuu mbona uzalendo ukizidi unaonakana useless, haijawahi kutokea Udsm kua top 10 African university labda unamanisha makerere nchini uganda.
Kalete hizo data mkuu kama unayoyote acheni ushabiki Udsm haina research za kukifanya top leading versities in africa, kumejaa siasa na uswahili mwoingi, no academics any more.Mkuu miaka kumi na nne iliyopita udsm ilikua haitoki top ten na sio top ten tu hata top five ulikua pia ilikua inaingia... Kuna kipindi Makerere walikua wachumba sana kwa udsm... Tafuta source za miaka hiyo utaona mkuu
Dr Mwijaku ππππKama JF ilivyovamiwa na machawa kutoka CCM.