REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Sawa tu wewe dunia ya leo degree holder ajui kutumia email unadhani nini kinafuta hapo dunia ya leo bado assignment mnafanya kwenye magroup haaa haaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliingia UDSM mwaka 1974.Wakati huo, it was the only University in Tanzania.Kulikuwa na Campuses mbili,Morogoro Campus ambayo leo ni SUA na Muhimbili Campus.Oh,my goodness,UDSM ilikuwa inaheshimika worldwide.Leo dah,imekuwa laughing stock,inasikitisha sana.Yaani UDSM imekuwa ya hovyo Sana siku hizi,Generali Ulimwengu alisema "sikuhizi UDSM imekuwa form ten" yaani chuo kinampangia mtu namba ya kugikiri.
UDSM miaka hiyo mambo sensitive ya nchi Yalikuwa yananzia pale kupingwa au kuungwa mkono kwa hoja,rejea kipindi Cha Akina Samweli Sita waanzilishi wa Revolution Square darajani kwenda hall 5.
Tangu Prof Mkandala aachie ngazi chuo kimeendelea kudolola.No research za maana,no hot discussion,kupungua kwa idadi ya waandamizi(senior academician) kama akina Prof Shivji,Mbonile n.k,,,siku hizi wanaopiga lecture ni vijana wanaosomea masters,na Hawa ndio wanaendekeza sana ngono na wadada ilikupata maksi.
Jitihada za Makusudi zifanyike kuokoa chuo hiki,binafsi nilijivunia kusoma UDSM ilivyokuwa na hadhi yake,miaka hiyo wanachuo wanaargue kweli na migomo Kwa kwenda mbele.
Naona serikali ni kama imekitosa mazima The Hill, ambacho ndio jicho la TZ kwa higher education. Kwa mambo yanayoendelea pale, sio rahisi kufikia level za kimataifa.
First impression starts with watumishi husika ( mind set, comfortability, readiness and proudness),
Frankly speaking, watumishi hawako proud and readiness na working environment ya pale the hill.
Serikali lazima ichukue hatua haraka
This👉 is so stupid,"UDSM imeharibiwa na siasa za JPM. Between 2015-2020."Hatuzungumzii UDSM peke yake,we are talking of the entire education system, pamoja na UDSM,it is rotten.Sasa an entire education system iharibiwe so much within a short span of five years,si kweli,wewe unamtafuta tu mchawi.UDSM imeharibiwa na siasa za JPM. Between 2015-2020 elimu ya vyuo vikuu na tasnia ya habari vilivamiwa na siasa za uchawa. Wasomi na wanahabari wakaanza kulamba teuzi kama hisani ya uchawa na upotoshaji. UDSM ikiaanza kuwa kichaka cha kulinda maslahi ya wanasiasa huku waandishi wa habari nao wakipoteza mwelekeo kwa vitisho na uchawa. Hadi leo hii wasomi wa nchi yetu hawana uhuru baada kuuza taaluma zao na utu wao kwa vipande vya mkate. Tumebaki kuzalisha machawa badala ya wasomi wanaoweza kutoa mawazo huru ya kusaidia nchi kupiga hatua. Sahizi hata serikali za wanafunzi vyuoni hazina uwezo wa kuzalisha viongozi wa maana zaidi ya machawa. Uwezo wa wanafunzi kitaalama umeshuka sana (mawazo ya kichawa) hawako independent katika kufikiri mana wanafundishwa na machawa. Ukiona mtu yuko independent ujue huyo anaakili ya kuzaliwa (kipaji) siyo ya kufundishwa. Mbaya zaidi serikali ya kichawa haina uwezo wa kuzalisha ajira (wasomi waliowengi wananjaa muda wote) hata waliopo kwenye ajira hawafaidi matunda ya kazi zao pasina uchawa . Sasa kwa hali hiyo ulitegemea UDSM ishike nafasi ya ngapi?.
Mwaka jana MUHAS ilitutoa tongotongo...Umemkamata huyo muongo, hamna siku hata moja chuo chochote EAC yote kimefika top 5, yeye anasema UDSM iliwahi kufika top 5.
Huyo magufuli hatunaye tangu 2021 na hatuta kua naye anaye tuharibia UDSM tunaye mbona humsemi huyu Gagula mzurulaji kama hana ndoaUDSM imeharibiwa na siasa za JPM. Between 2015-2020 elimu ya vyuo vikuu na tasnia ya habari vilivamiwa na siasa za uchawa. Wasomi na wanahabari wakaanza kulamba teuzi kama hisani ya uchawa na upotoshaji. UDSM ikiaanza kuwa kichaka cha kulinda maslahi ya wanasiasa huku waandishi wa habari nao wakipoteza mwelekeo kwa vitisho na uchawa. Hadi leo hii wasomi wa nchi yetu hawana uhuru baada kuuza taaluma zao na utu wao kwa vipande vya mkate. Tumebaki kuzalisha machawa badala ya wasomi wanaoweza kutoa mawazo huru ya kusaidia nchi kupiga hatua. Sahizi hata serikali za wanafunzi vyuoni hazina uwezo wa kuzalisha viongozi wa maana zaidi ya machawa. Uwezo wa wanafunzi kitaalama umeshuka sana (mawazo ya kichawa) hawako independent katika kufikiri mana wanafundishwa na machawa. Ukiona mtu yuko independent ujue huyo anaakili ya kuzaliwa (kipaji) siyo ya kufundishwa. Mbaya zaidi serikali ya kichawa haina uwezo wa kuzalisha ajira (wasomi waliowengi wananjaa muda wote) hata waliopo kwenye ajira hawafaidi matunda ya kazi zao pasina uchawa . Sasa kwa hali hiyo ulitegemea UDSM ishike nafasi ya ngapi?.
Wamezagaa tu kila sehemuTuna idadi kubwa ya wasomi with no content
Walitufikisha wapi na hizo hoja na misimamo?Wasomi wa zamani walikuwa wakiibua hoja mbali mbali na misimamo mikali siku hizi kazi ni kujipendekeza tu bila aibu
Ili kufikiriwa kupewa Anita kwa manufaa ya magimbi yao binafsi badala ya kuzingatia maslahi ya Umma na vizazi vya watanzania.
Halafu kipindi kile, kusoma chuo na malazi na chakula ni bureWalitufikisha wapi na hizo hoja na misimamo?
Hivi chawa maarufu JF Lucas de mwashambwa Lucas mwashambwa ana degree ya UDSM?imebaki kusifu na kuabudu a.k.a Uchawanization.
Totally borering.
Mbrrrr mbrrr mbrrrHalafu kipindi kile, kusoma chuo na malazi na chakula ni bure
Kwa hiyo muda walikuwa nao wakupiga soga wakiita midahalo kule nkurumah hall
Leo, mimi nijitegemee ada, kula, na malazi, saa ngapi nianze kulopokalopa, eti tuite ni midahalo badala ya kupambana na maisha, maana unayaanza tangu unasoma chuo, siku nyingine siku inapita hujala hata msosi mmoja
SemenyaPale jalalani bado panajikongoja.
😀😀😀Ndio ninayo na hata makamu mkuu wa chuo kwa sasa profesa William anangisye ni mwalimu wangu. Profesa Bernadeta Kilian aliyekuwa mkuu wa chuo kishiriki cha Elimu Mkwawa naye pia ni mwalimu wangu na wengine wengi sana .