Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

Anahis unao utamu by your natural way your lvng
 
Hizi id mpya nyingi za member wazoefu wanataka kucheza na akili zetu…!! 😹

Jitahidi usisahau tena password unipe nilitumie siku nikipewa ban..!!🤣
Sawa nitakupa , kuna siku nililewa nikazingua na hii id kesho yake nikapanda nalo kukwepa maswali yani sikuweza changia chochote zaidi ya kucheka tu😅😅😅😅 Dr am 4 real PhD
 
Sawa nitakupa , kuna siku nililewa nikazingua na hii id kesho yake nikapanda nalo kukwepa maswali yani sikuweza changia chochote zaidi ya kucheka tu😅😅😅😅 Dr am 4 real PhD
Ulizingua nini? 😹

Nipe hilo parody lako siku nikilewa niwakere waungwana..!! 🤣
 
Ulizingua nini? 😹

Nipe hilo parody lako siku nikilewa niwakere waungwana..!! 🤣
Parody limekaa kiinjilisti sana tatizo😁😁 unaweza tamba nalo watu wa kale wakapanda na risiti😅😅
 
We Nesi umejoin ijumaa tu ulifikiri chai itaiva 😅
 
Sawa nitakupa , kuna siku nililewa nikazingua na hii id kesho yake nikapanda nalo kukwepa maswali yani sikuweza changia chochote zaidi ya kucheka tu😅😅😅😅 Dr am 4 real PhD
Mimi nakunywaga for recreational purposes Tena jioni baada ya kazi..kinacho niboa ni POMBE NA USINGIZI
BALAA ukijumlisha uchovu ukilala una amka usiku wa manane unakua macho mpaka asubuh.

🤣😅🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…