Wa kienyeji, mtu ameniita hivi, inamaanisha nini?

Mwanamke ambaye hujatekwa na mambo ya kisasa, yaaan ni kama binti kigori wa kiafrika, mwenye muonekano wa kiafrika, ambaye huna muonekano wa kimalaya! Actually vijana wengi tunavutika sanaaaaa na hiyo Aina ya wanawake! ", unajua maisha ya sasa hiv unaweza kumuangalia mwanamke mara moja hrf ukapata jibu huyu lazima atakuwa na HIV, UTI kwahyo lugha ya mwili ya muhusika hutoa taarifa kwa haraka kwa rijali yeyote yule.
 
Aaanha sawa kaka nimekuelewa, asante!
 
Wa kienyeji ndio mtamu sio kama wa kufugwa😎
 
kuna uwezekano we ni mchafu, eiza una nuka mdomo au kwapa. Una mambo ya kiswahili swahili, ama mshamba mshamba!!

Wanaume ndo hua tuna tabia ya kubatiza vitu visivyo vutia majina ya ajabu kuhalalisha tamaa zetu. Utaskia
“Hata konyagi ni Gongo tu” au “ Nipe kisamvu cha Kopo”.

Oga vizuri, jitunze… acha Ukibiriti ngoma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…