Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepiga hatua kubwa sana.... Siku hizi tunasali/swali tukiwa tunapeperusha bendera ya Taifa. Kanzu, barkashia, makubazi tupa kule..Hao ni Watanzania walio kwenye mji mtakatifu Iraq walipokwenda kuhiji katika miji mitakatifu ya madhehebu ya Shia ya Najaf kulipo msikiti maarufu mtakatifu na Karbala kulipo kaburi la Imam Husayn .
Kuna tofauti gani kati ya washia na Qadiani/Ahmadiyya?
Tumepiga hatua kubwa sana.... Siku hizi tunasali/swali tukiwa tunapeperusha bendera ya Taifa. Kanzu, barkashia, makubazi tupa kule..
Kumbe sio waislamu ila wanapenda kujitambulisha kama waislamu.Ahmadiya hawaamini MUHAMMAD kuwa mtume wa mwisho.
Ahmadia hawarusiwi kuingia makka kufanya hija wala hawarusiwi kuoa muislamu.
Wanahesabiwa kuwa sio waislamu.
Waislam sijui shida huwa nini yaani hamuoni yajayo wala machungu ya baadae nyie mnaona anachofanya ni sawa tu jueni hili nyani sio mmoja walizaliwa wengi na siku ya nyani wote kufa miti huteleza usifurahi juu yangu huu uwimbo sikiliza kwa makini. Hii hali ya bandari na kuuzwa kwa nchi yako iliyohenyewa halafu mtu au watu wanaona ni fine kuharibu utaratibu haya situpo ?? Hawatawajua kisa nyie mnasali pamoja wao wanachukiaga watu weusi mbaya mbaya sana tunarudi chini badala ya juuNa muda huu ndiyo msimu wenyewe ndugu zetu toka Tanzania wapo huko kutekeleza jambo muhimu la kiimani katika miji Najaf na Karbala iliyopo Iraq.
View attachment 2741675
Group la ndugu?!😡😡Labda mama tayari amepost kwenye group lao la WhatsApp kuwa "mambo yameiva tayari"
Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?
Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
DPW imefanya waarabu waogopwe na watanganyika kama chawa na kunguni ndani ya nyumba.
Mkataba ule wa bandari uvunjwe, hatuutaki kabisa, hao waarabu hata kama wanashangilia mambo yao, hapa mkataba wa DPW hatuutaki hili muelewe.
heshima kwa Tanzania kwani kiongozi wa mashia Afrika mashariki na kati makao makuu yake yapo Tanzania anaitwa Shkh.Hemed Jalala kama sijakosea.
Wameongea mengi ila moja wapo nlilosikia wanasema tumesha wachomeka KIDOLEKabla ya yote ingependeza kujua maneno yanayotamkwa hapo. Tunaweza kurupuka kuanza kulaumu wakati kinachozungumzwa ni tofauti kabisa
wamejipatia linchi la bure bila kutoa senti moja! SSH we are watching you and these!!Kuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?
Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665
Wangeshangilia waisrael mabwana zenu hapo ingekuwa poa kkenge wwKuna video imesambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonyesha kundi la warabu wakishangilia na kuimba nyimbo huku wakipeperusha bendera ya Tanzania kitu ambacho kimeibua maswali mengi miongoni mwa watanzania wakijiuliza inawezekanaje?
Yani katikati ya sakata la kuuzwa kwa bandari zote za Tanganyika kwa warabu wa DP world ya Dubai alafu tena waonekane warabu wakishangilia kama wamechukua kombe kwa nini?
Kweli viongozi wetu hawaoni hili?View attachment 2741665