Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Waarabu na wahindi wenye uraia wa Tanzania hawafungi ndoa na ngozi nyeusi japo dini wanasali pamoja

Wanajitambulisha au wazee wao wana asili ya Oman? Sample hizi utazikuta sana maeneo ya pwani maana ni kweli wamechanganyika, sasa nyinyi naona muna hasira za bure bila sababu.

Wahindi na Waarabu wamechanganya sana na waswahili wa pwani na hata katika maeneo ambapo wameishi kama Tabora na Nzega. Sasa nyinyi munataka kulazimisha kwamba wajiseme ni makabila ya kibantu wakati siyo kweli.

Kwa kweli nynyi wabara wa maporini inferiority complex inawasumbua sana.
Hapana kuna wengine wabongo kabisa ila ndio hivyo watu wa pwani washakariri uarabu ndio tamaduni na rangi bora ndio maana siwashangai hawa wabantu wakijinasibisha na oman hasa waislamu
 
Tunapata wasi wasi kuchangia nyuzi kama hizi kwa kuwa tunaweza kuonekana hatuwapendi weusi Wenzetu....lakini nadhani Kuna tatizo kwenye jamii ya watu weusi.........

Kuna sehemu moja kule upanga kuna muarabu aliweka water dispenser nje ili watu wapita njia wakate kutokana na jua Kali..... lakini Cha ajabu watu wakawa wanaondoka na koki za mabomba na kuiba vikombe.......

Pahali ninapofanyia kazi kuna muingiliano wa watu weusi na weupe.....kulifanyika marekebisho ya vyoo vyote ili kuviboresha.....Ile wiki ya kwanza ya vyoo kufunguliwa baada ya maboresho ule upande unaotumika na watu weusi waliondoka na koki zote mpya na pipes......maji yakawa yanamwagika tu......

Hayo ni machache tu akini tunatakiwa tujitafakari watu weusi.....

Shulen waongeze somo la ustaarabu
Ustaarabu ni zero
 
Tafuta pesa unaweza oa au kuolewa na wa rangi yoyote
Yap, watu hawawezi kukupa binti yao wakati huna hela na binti yao hawezi pika uduvi.
Ousmane Dembele kaoa Morocco, wazazi wanajua binti haendi kula uduvi.
 
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?

Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.

Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.

Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
Utakuta mwarabu/ muhindi Babu yake kazaliwa tanzania na ni mtanzania, watoto wake ni watanzania na wajukuu lakini kamwe haweza kuruhusu kuoa mweusi.

Wakati huo huo Mzungu kutoka UK, Ujerumani au Poland akikaa miezi mitatu tu Tanzania anachukua kimwana na anazaa fasta.

Mnanielewa bilashaka
 
Kwa hiyo mnataka kuwalazimisha

"Hivi nyie mshawahi ona movie ya missisipi masalla ya denzel washington"movie ya kitambo enzi za vhs wakongwe wa movie watakuwa wamenielewa hapa"

Ova
 
Nakumbuka nilimtokea mhindi mmoja, alikuwa akiuza juice enzi nikiwa Form Three na Four..aisee nilimpania nimpigage mimba akachomoa waarabu ni rahisi kuwapata. Sio wahindi
 
Waafrica na inferiority complex, kwani we huwezi kuoa mtu mweusi mwenzako mpka ukaoe mwarabu au muhindi.

Ndio maana jamaa wanajiona wapo juu sababu ni sisi wenyewe waswahili shobo nyingi sana
 
Halafu swala la matatizo kila jamii ina matatizo huko kuna wauaji, wabakaji, wezi ndio maana kuna magereza.

Swala la kusema sijui ustarabu ni sababu labda hujawahi kuwa karibu na hizo jamii. Hao jamaa sio kama unavyodhania.

Waswahili tujipende na tupendane tuacheni na kasumba za uarabu na huindi.
 
Zipo na vita kama hivyo

Lakini hakuna family ya kiarabu inayoridhia kijana wao aoe ngozi nyeusi,

Ukiolewa hapo jiandae kutengwa.

Nishaona
Hata waarabu wale pure hawawaoi waarabu chotara sembuse wewe mweusi na wanawabagua waarabu chotara
 
Baba angu mrangi,kaoa mwarabu wa zanzibar alioa wakati alipopangiwa kikazi huko visiwani. Hata Mimi nimechanganya na japo mweusi lakini siwezi kuoa mwanamke wa kibara hata Kwa fimbo,ndugu zangu wote wameoa zanzibar wanawake wa kishombe sio sababu ya kuoa mwanamke wa kibara hasa hasa mweusi
Ninyi ndio wale mnajiita waarabu kumbe koko tu. Unawezakusema kwanini huwezi kuoa mbara?
Ni hivi mbara anae jielewa hawezi ups mzenji hata siku Moja kwa sababu ninyi ni empty upstairs. Hivi unadhani mtu anaejielewa anaweza kutamani kultea mbumbu kwenye ukoo?
 
Kwa wahindi nadhani wenyewe Wana special case maana si kwa waafrica tu hadi kwa mabara mengine.

Wahindi wanaoana wao kwa wao ndani ya familia; niliwahi kuuliza ni kwanini nikajibiwa ni kwa sababu ya ile mila ya wanawake kuwatolea wanaume mahali; yaani Wana contain mali ibaki kwenye familia.
 
Ninyi ndio wale mnajiita waarabu kumbe koko tu. Unawezakusema kwanini huwezi kuoa mbara?
Ni hivi mbara anae jielewa hawezi ups mzenji hata siku Moja kwa sababu ninyi ni empty upstairs. Hivi unadhani mtu anaejielewa anaweza kutamani kultea mbumbu kwenye ukoo?
Waarabu hawaepukiki ukanda huu wa Afrika mashariki,damu Yao ipo hata Kwa hao unaowaita Koko. Sio mbara sababu mpo na Akili mbovu Kama hiyo ya kwako
 
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?

Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.

Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.

Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
Suala la kuoa ni maamuzi ya Mtu binafsi. Si kweli dhana yako.
Mbona wapo wanaume wengi tuu wa kiarabu wanazaa na waafrika.
Pia wapo wanawake kibao wa kiarabu wanaolewa na waafrika?
Halkadalika Wahindi, japo kwa wahindi nikidogo sana waliochanganya damu lakini wapo.
Je wewe Unataka Kuolewa na Muarabu?
Au kuo Mwanamke wa kiarabu?
Nione nikuunganishie. Lakini ujuwe Vigezo na masharti vitazingatiwa.
 
Sisi waafrika tuoane na kuoleana sisi kwa sisi maana kwanza familia nyingi wachawi na umasikini una close relationship na uchawi usikute wanaogopa kuachiwa fisi kitandani au fungo wewe unakula mzigo kumbe unakula mbwa pori halafu yeye yupo kwenye vikao GAMBOSHI huko.

Waweza fikiri utani lakini hii niliishuhudia huku maeneo ya kanda ya ziwa ambapo mwanaume kaishi na mkewe zaidi ya miaka 30 lakini hajawahi ng'amua kama mkewe anapaa angani ndipo purukushani flani lilitokea baada ya kwenda kuwanga kwa jirani aliyejipanga ndipo likakutwa fisi jike alilokuwa akiachiwa mama akiwa safari sasa anaetaka hizi karaha ni nani?
Kwanza hali zetu za maisha ikitokea ndugu kaolewa na mwaarabu au mzungu labda awe anakaa huko ng'ambo lakini kama anakaa hapa bongo ndugu watajazana utadhani kuna msiba.
 
Ninajiulizaga sana hili swali. Mbona tuna wahindi wengi sana waislam na wakristo. Na tuna waarabu wengi sana waislamu wenye uraia wa Tanzania. Ila why hawaoi dada zetu ngozi nyeusi?

Inawezekana wanatujua ngozi nyeusi tuna mambo ya ajabu. Mfano msiba wa dada wa Mwanza aliyepigwa risasi ndugu wa mke na mume wameshaanza migogoro msibani tu.

Misiba ya wahindi na waarabu wa Tanzania ni ngumu kusikia migogoro ya kugombea mali. Kukwepa hili ndio maana hawaoi dada zetu weusi na wala hawaturuhusu weusi kuoa dada zao labda uwe unatoka royal family za Tanzania ndio wanakupa mke.

Hii video ya mama wa marehemu imenishangaza sana
Kwenye hii video ya tukio la Mwanza.
Hakuna Mwarabu hapo bali Mrangi.
Halafu hao warangi wanajiaibisha kwa kumfungia mama ya Marehemu.
Kwenye nyumba ambayo huyo Marehemu Said alikwishaijenga miaka zaidi ya nane huko nyuma.

Marehemu Swalha na Marehemu Said walioana miezi mitano iliyopita kabla ya kuhitimishiana Uhai hiyo majuzi.

Sasa...pamoja na Polisi kuja na kuwaruhusu kuendelea na Msiba wa Marehemu Said ndani ya nyumba yake.kasoro tu Polisi ilifunga chumba walichokuwa wakikitumia Marehemu wote wawili Bedroom ambako mauaji ndio yalifanyikia.

Hao familia ya Marehemu SSwalha waliondoka na funguo kinyemela,huku wakiiacha familia ya Marehemu Said akiwemo mama mzazi wake.
Wakiwa nje ya nyumba kinyemela.
 
usha ona muisrael akifunga ndoa au hata kuishi na mmatumbi ??
usha ona muisrael akifunga ndoa au
usha ona muisrael akifunga ndoa au hata kuishi na mmatumbi ??
usha ona muisrael akifunga ndoa au hata kuishi na mmatumbi ??
usha ona muisrael akifunga ndoa au hata kuishi na mmatumbi ??

hata kuishi na mmatumbi ??
usha ona muisrael akifunga ndoa au hata kuishi na mmatumbi ??

usha ona muisrael akifunga ndoa au hata kuishi na mmatumbi ??
Nishaona wengi mmoja wapo huyu hapa muisrael /myahudi anaitwa Dan Salpeter kamuoa mwanariadha wa olympic Lenah Chemutai. Wayahudi ni kama wazungu kupinga ndoa za rangi tofauti walishaacha tangu miaka ya 1960. Wakati Waarabu na wahindi ubaguzi wao wapo karne ya 15 wanaona mwafrica ni mtumwa bado na mnyama
 
Attachments

  • IMG-20220602-WA0011.jpg
    IMG-20220602-WA0011.jpg
    20.5 KB · Views: 18
Back
Top Bottom