Ole Morwo
Senior Member
- Jul 24, 2021
- 121
- 205
Hapana kuna wengine wabongo kabisa ila ndio hivyo watu wa pwani washakariri uarabu ndio tamaduni na rangi bora ndio maana siwashangai hawa wabantu wakijinasibisha na oman hasa waislamuWanajitambulisha au wazee wao wana asili ya Oman? Sample hizi utazikuta sana maeneo ya pwani maana ni kweli wamechanganyika, sasa nyinyi naona muna hasira za bure bila sababu.
Wahindi na Waarabu wamechanganya sana na waswahili wa pwani na hata katika maeneo ambapo wameishi kama Tabora na Nzega. Sasa nyinyi munataka kulazimisha kwamba wajiseme ni makabila ya kibantu wakati siyo kweli.
Kwa kweli nynyi wabara wa maporini inferiority complex inawasumbua sana.