Waarabu wa Morocco wambagua kocha Rolani Mokwena Kwa kumwita Kaffir

Sasa ulipo sema unawashangaa waislam kujipendekeza kwa wamorocco ilhal wamorocco wanawaunga mkono waisrail, ulikua na maana gani?

Au ndio nyie tunawaita hamuchelewi kujizima data?
Daah mkuu sipo kundi la kutukanana tafuta ID zingine za kutukanana si wengine tukitukana ni kama tunawakosea waliotulea kwenye maadili bora mimi siwezi kukutukana kisa mambo ya Israel sijui na ndugu zake tafuta wenzio mfike mpaka kesho poa tu uwe na siku njema mazee..
 
Matamanio yako ya kutaka ionekane
kuwa Kiswahili ni Lugha iliyotokana na Kiarabu ni MATAMANIO TUPU, haijalishi utatoa nguvu kiasi gani kutamani iwe hivyo, HAITAKUWA.

Kiswahili kipo hata kabla ya ujio wa waarabu.

Lakini pia licha ya 30% ya msamiati wa Kiswahili kuwa ni wa Kiarabu, hakuna hata 0.1% ya muundo wa Kiarabu katika Lugha ya Kiswahili. Nje ya dhana ngeni zilizoingizwa na waarabu mfano maneno kama kaburi, shehe, ibada, sala, nk... KISWAHILI KILIJITOSHELEZA.
 
Akome na bado

Alijifanya pep guardiola acha aisome namba.
Mokwena hajawahi kuwa kocha mzuri ni vile mamelodi ilikuwa tayari ishasukwa na kina pitso

Huko kakutana na waarabu yaani ubaguzi, na hawana uvumilivu kabisa .

Ukute licha ya hao team pinzani (tanget kitu kama.hiko) kumtusi labda na mabosi zake pia wanamtusi kimya kimya


Karma is a real deal
 
Hasira zote kwakuwa aliifunga timu yako ya Yanga sio?
 
Ogopa kuishi na mtu mwenye maktaba za mafuvu ya Babu zako waliouawa na kutumikishwa kupitia daraja la rangi na dini.
 
Tatizo letu weusi tuko too emotional. Akikuita Kaffir muite nguruwe. Usikae kinyonge na kutafuta huruma.
 
Acheni mbaguliwe maana hata kwa muonekano mpo tofauti na binadamu wengine, ulisha ona wapi binadamu wengine vipilipili?
 
Sidhani kama wote wamemuita hivyo , lakini hicho sio kitu cha kushangaza kwa baadhi ya waarabu , ni kosa pia baadhi kunasibisha na uislamu , waarabu wasio wastaarabu wanaweza kumfanyia hivyo mtu mweusi yeyote hata kama ni muislamu pia , ni tabia zao baadhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…