GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Semaji laoKwani na wewe mkuu ni mwarabu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Semaji laoKwani na wewe mkuu ni mwarabu ?
Daah mkuu sipo kundi la kutukanana tafuta ID zingine za kutukanana si wengine tukitukana ni kama tunawakosea waliotulea kwenye maadili bora mimi siwezi kukutukana kisa mambo ya Israel sijui na ndugu zake tafuta wenzio mfike mpaka kesho poa tu uwe na siku njema mazee..Sasa ulipo sema unawashangaa waislam kujipendekeza kwa wamorocco ilhal wamorocco wanawaunga mkono waisrail, ulikua na maana gani?
Au ndio nyie tunawaita hamuchelewi kujizima data?
Mpaka umri uliofikia umeuza mechi sana acha kutudanganyaSijawahi.
Ukafiri huo.
Mie nashangaa sana wee Kuna tusi gani hapa duniani hujasikia mpaka ukasirishwe na maneno. Wee muhimu mwisho wa mwezi wanakupa chako basi.Muhimu mpunga uingie kwenye akaunti
Mpunga na utuMuhimu mpunga uingie kwenye akaunti
Matamanio yako ya kutaka ionekaneSijaona uliposema, nimesoma ulichoandika, kwani ulikuwa unaongelea lugha au porojo tu baada ya kushindwa kuzihesabu asilimia za Kiarabu kwenye Kiswahili?
Niliwhi kuandika hivi, nadhani siku hizo hata JF ulikuwa bado huijuwi:
Huwezi na Hutoweza Kuongea / Kuandika Kiswahili fasaha
Kiswahili ni lugha ambayo imetokana na Kiarabu na Kibantu na maneno mengine machache yaliongezeka kidogo kidogo kutoka lugha zingine za Afrika, Uropa na Asia. Kabla ya kuja wakoloni wa ki Uropa maandishi yote ya Kiswahili yalikuwa kwa herufi za Kiarabu na matamshi yalikuwa kwa lafdhi ya...www.jamiiforums.com
Sawa kaffirKAFFIR mwenyewe
Kamuulize yeye TrumpKwahiyo trump ataivamia morocco? Na atawaua waarabu wote wa morocco?
Hasira zote kwakuwa aliifunga timu yako ya Yanga sio?Akome na bado
Alijifanya pep guardiola acha aisome namba.
Mokwena hajawahi kuwa kocha mzuri ni vile mamelodi ilikuwa tayari ishasukwa na kina pitso
Huko kakutana na waarabu yaani ubaguzi, na hawana uvumilivu kabisa .
Ukute licha ya hao team pinzani (tanget kitu kama.hiko) kumtusi labda na mabosi zake pia wanamtusi kimya kimya
Karma is a real deal
kwanini nikamuulize trump wakati wewe ndio umeandika hapa trump akiingia atawanyoosha waarabu?Kamuulize yeye Trump
Tatizo letu weusi tuko too emotional. Akikuita Kaffir muite nguruwe. Usikae kinyonge na kutafuta huruma.Warabu wametia aibu soka la Africa kwa kumbagua Mwafrica mwenzao Kwa kumwita Kaffir, yaani mtu mweusi mchafu na anayenuka kama mzoga
Rulan Mokwena ni Coach wa Wydad Casablanca ya Morocco, zamani alikuwa coach wa Mamelod sundown ya Africa Kusini
Ubaguzi huo umefanywa na Moja ya viongozi wa benchi la ufundi la IR Tanger katika mchezo uliomalizika kwa suluhu
Siyo uungwana kumbagua mwenzako Kwa tusi la KAFFIR,
Kamati kuu ya CAF itakaa kufanya maamuzi ya adhabu kwa hao waliomwita Coach Rulan Mokwena Kaffir