Wababa wenye magari, kwanini mnasimama kwa dakika kadhaa kabla ya kuingia majumbani mwenu?

ahahaha,,,,Bob Manson, sisi wababa wenye magari tuna mambo mengi ya kufanya. Nikusihi tu na wewe uwe nalo.
 
ahahaha,,,,Bob Manson, sisi wababa wenye magari tuna mambo mengi ya kufanya. Nikusihi tu na wewe uwe nalo.
Hakika nami nitakuwa nalo, lakini hayo mambo mengi ni yapi mkuu? niyajue mapema kabla sijawa na gari
 
Hakika nami nitakuwa nalo, lakini hayo mambo mengi ni yapi mkuu? niyajue mapema kabla sijawa na gari
ahahaha,,,,sema sisi wababa wenye magari na tulio single, popote tunaongea. Hao walio oa labda uchunguzi wako ulianzia huko. Ila tuna mambo mengi
 
ahahaha,,,,sema sisi wababa wenye magari na tulio single, popote tunaongea. Hao walio oa labda uchunguzi wako ulianzia huko. Ila tuna mambo mengi
Nimekuelewa vyema, huenda kweli mambo ni mengi, lakini muwe makini msimamame katikati ya barabara au mbele ya mageti ya wengine.
 
yako yamekushinda
 
Mimi sio kama nawachunguza mkuu, ila imekuwa kawaida nikipita jioni nakutana na wajomba wamesimama, na wengine tunapeana salamu kabisa...

Sasa huwa najiuliza kwanini wengi wao wanafanya hivyo, lazima ipo namna
We mdada

Unataka kupata nini ?
 
ukiona wamesimama unaweza wauliza kwamakibu ya uhakika
 
Watakuwa wanablock number za wale "Samahani kukupigia ila nilikuwa tu nataka kujua kama umefika salama"wakati walishaambiwa usipige tena simu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…