Uwanjani haina impact kwasababu redio inakuwa inaenda sawa na kile kinachoonekana uwanjaniAta uwanjani wapo ambao wanakuwepo ila wanasikiliza radioni
[emoji23]wanajiona wataaaalaaamu wenyewe... Yani wameliona goli kabla!Afu yalivyo majinga goli likifungwa yanawah kunyanyuka na kushangilia
[emoji23][emoji23][emoji23]Hii mara nyingi huwa vizee natamanigi kuwalamba makofi
Kuna jamaa tulikuwa naye uwanjani sijui alikuwa anasikiliza redio gani ile...yani alikuwa anashangilia kabla ya goli, na kweli huku nyavu zinatikisikaUwanjani haina impact kwasababu redio inakuwa inaenda sawa na kile kinachoonekana uwanjani
Ila kama una stream au kuangalia kwenye TV, redio hua mbele ya muda kuzidi TV.
Mabanda umiza ya kitaa mengi yamepiga marufuku kusikiliza redio ukumbuni
Kwa upuuzi huo hata Mimi Leo naangalizia home tatizo mchawi TANESCO hachelewi kukata umemeNa hii kitu ndo inanifanya game hasa za simba na yanga niamue tu kusikilizia ndani kwenye radio maana ukumbini ni upuuzi mtupu.