Kwhy redio inaanza kutangaza tukio ambalo ww uliekua live hulion,haiwezekani daimaKuna jamaa tulikuwa naye uwanjani sijui alikuwa anasikiliza redio gani ile...yani alikuwa anashangilia kabla ya goli, na kweli huku nyavu zinatikisika
HakikaHakuna kitu kama hicho, labda kama alikuwa anasikiliza mechi nyingine tofauti na hiyo iliyokuwa inachezwa uwanjani
Ikatokea tu coincidence na hapo uwanjani likaingia goli
Kuna watu wachawi mzee...tembea uyaoneKwhy redio inaanza kutangaza tukio ambalo ww uliekua live hulion,haiwezekani daima
Uwanjan pia ni nadra sana kukuta kuna radio inayoendana na kasi ya uwanjani...huwaga zipo nyuma.Uwanjani haina impact kwasababu redio inakuwa inaenda sawa na kile kinachoonekana uwanjani
Ila kama una stream au kuangalia kwenye TV, redio hua mbele ya muda kuzidi TV.
Mabanda umiza ya kitaa mengi yamepiga marufuku kusikiliza redio ukumbuni
Acha uongo mkuu sasa mpo wote uwanjani yeye hayo matangazo ya goli yalikuwa yanatoka wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila nimecheka kinoma yani ila nimefikiria zaidi nkahisi labda jamaa alikuwa anasikiliza radio ya mganga wa timuKuna jamaa tulikuwa naye uwanjani sijui alikuwa anasikiliza redio gani ile...yani alikuwa anashangilia kabla ya goli, na kweli huku nyavu zinatikisika