Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Umewahi kuishi Marekani?

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
 
Pana vitu mnachanganya sana Nchi zilizoendelea zina fursa kuliko Nchi zetu kwa hiyo kuwa huko sio kigezo cha wewe kuendelea kama haujitumi na hujui umefata nini huko kupata mafanikio au Mtaji Nchi za Ulaya ni rahisi kuliko Nchi zetu labda ushikwe Mkono lakini Nchi zilizoendelea unaweza kujipa malengo ufanye nini baada ya muda fulani kuferi kwa baadhi ya watoto wa Mama isiwe case study ya mnachoongea maana wengi ya wanaojituma huko wapo vizuri sana na pia kwa kuwa hawatoi password kirahisi ndio maana wengi wanafurahi kudhani inawezekana asilimia kubwa wapo choka mbaya kumbe sio kweli...
 
Punguza hasira nipo Ujerumani anachokiongea mtoa mada ni ukweli mtupu. Kuna waafrika wakifika huku wanajisahau. Mtu unamaliza chuo unapata kazi unalipwa 4000 Euros. Unatafuta apartment kubwa halafu huna mke . Unaanza kuiga wazungu unatumia madawa na kusafiri kila summer.Mwisho wa siku unakuta hio hela unabakia kusave Euro 6000 kwa mwaka. Ukirudi Bongo Hohe hahe. Nasoma masters ila nimekutana na watanzania analipwa vizuri. Lakini matumizi yao kama wamezaliwa ulaya. Yaani hadi unga wanavuta na wanafanya kazi kama kawaida. It is a huge culture shock, I don't judge. Lakini ni vigumu watu kama hawa kufanya vitu vikubwa nyumbani.
 
Ndugu yangu baada ya mama kufariki ilitumika nguvu sana kumleta msibani. Maana aliondoka tangu mwaka 97.
Baada ya msiba ilibidi atafutiwe kazi nzuri ili abaki nyumbani akafanya miezi miwili akatimka
Na kilichomuondoa alikuwa anajihisi aibu.
Kila Mtu anaishi Sehemu a anayopenda
 
Mkuu ukiona wanachukia wewe elewa sindano yenye dawa imegusa mfupa!
 
Ndugu yangu baada ya mama kufariki ilitumika nguvu sana kumleta msibani. Maana aliondoka tangu mwaka 97.
Baada ya msiba ilibidi atafutiwe kazi nzuri ili abaki nyumbani akafanya miezi miwili akatimka
Na kilichomuondoa alikuwa anajihisi aibu.

Sasa unga wanaovuta hapa Bongo ni wazungu ?
 
MAISHA ni kuishi vizuri ikiwemo kula Bata acha watu waishi vizuri
 
Hao unaosema wengi wao amekurupuka, mbona kuna wengi sana wanaishi maisha mazuri tu.

Ukitaka kuishi vizuri nchi hizo, wachana kabisa kuwa karibu na wabongo na magenge yasiyo na maana.

Nawashauri wanaokwenda huko, kama hawana mipango thabiti na ya uhakika basi wakaanzie maisha miji midogo midogo ambayo haina wabongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…