Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Wewe utakuwa mchawi , wewe amba hata umeme na maji shida umamuonea huruma mtu aliyeko marekani?
Wewe ambae ukistaafu unakaa siku chache unapata depression unakufa halafu unasema unamuonea huruma mtu aliyeko marekani kuwa serious bwana, mimi nipo bongo ila nitakuwa mnafki nikisema sitaki kwenda marekani nikipata fursa au channel ya maisha, napenda watoto wangu wapate elimu bora sio kutongozwa na malecture wetu vyuo vya bongo halafi mtoto akimaliza chuo anatangatanga tu ,
Mkuu muwe mnasoma nyuzi taratibu na kuzielewa halafu ndipo mchangie!.

Sijasema hakuna ambaye hataki kwenda Marekani,Pasepsheni ya watu wengi espeshali mtu mweusi ni kuwa America kuna maisha mazuri!.

HOJA NI KWAMBA

Ni kwanini Watanzania wengi waishio huko wanamaisha mabaya(Hali ngumu) tofauti na waishio kwenye nchi nyingine ikiwemo Germany?

Hii ndiyo Hoja ilipaswa ujikite kwenye hoja
 
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
WW NI TAPELI km cyo ni chawa wa mama.kitendo cha mtu kufika usa ni mafanikio tosha.ww mwenyew umeishia hapa bongo tu
 
kunishangaa
Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!

hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
Karudi na kiongereza chake cha slang pekee bila mtaji😃😃
 
Sina hasira hata kidogo ndugu yangu. Uwe Ujerumani au Tanzania au Japani, mfano ulioutoa una-relation gani na hoja ya mwanzisha thread? Ku-save vs matumizi ni tatizo lililopo kila sehemu na sioni kipya!
Kwa hiyo anataka kusema Tanzania huku watu wana save vizuri kuliko Germany ? Tatizo la ku save sio dogo...
 
Mkuu muwe mnasoma nyuzi taratibu na kuzielewa halafu ndipo mchangie!.

Sijasema hakuna ambaye hataki kwenda Marekani,Pasepsheni ya watu wengi espeshali mtu mweusi ni kuwa America kuna maisha mazuri!.

HOJA NI KWAMBA

Ni kwanini Watanzania wengi waishio huko wanamaisha mabaya(Hali ngumu) tofauti na waishio kwenye nchi nyingine ikiwemo Germany?

Hii ndiyo Hoja ilipaswa ujikite kwenye hoja
Wakukurupuka nao hatari?
 
Back
Top Bottom