Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Aisee hii mimi sijawahi kuona labda kwa waziri maana anateuliwa. Lakini katika maisha yangu yote ya Tanzania. Walioanza kuvuta unga waliishia kuwa mateja na kuharibu maisha yao.Hata hapa Dar watu wanatumia madawa ya kulevya na ni ma Dr,mawaziri maenigneer n.k
Mkuu muwe mnasoma nyuzi taratibu na kuzielewa halafu ndipo mchangie!.Wewe utakuwa mchawi , wewe amba hata umeme na maji shida umamuonea huruma mtu aliyeko marekani?
Wewe ambae ukistaafu unakaa siku chache unapata depression unakufa halafu unasema unamuonea huruma mtu aliyeko marekani kuwa serious bwana, mimi nipo bongo ila nitakuwa mnafki nikisema sitaki kwenda marekani nikipata fursa au channel ya maisha, napenda watoto wangu wapate elimu bora sio kutongozwa na malecture wetu vyuo vya bongo halafi mtoto akimaliza chuo anatangatanga tu ,
Mkuu Kiranga anaishi kwenye tu-Apartment tumefanya anakosa hewa kila siku ndiyo maana anapinga uwepo wa Mungu
WW NI TAPELI km cyo ni chawa wa mama.kitendo cha mtu kufika usa ni mafanikio tosha.ww mwenyew umeishia hapa bongo tuMkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!
hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
kunishangaa
Karudi na kiongereza chake cha slang pekee bila mtaji😃😃Mkuu kuna mmoja juzi katoka Marekani ni mshikaji wetu kitaani yaani jamaa kachoka utadhani alikuwa gerezani,Amefika kuona nina drive Bima(BMW) anabaki kunishangaa na kunipa masifa kibao!
hiki ndo kimefanya nimeandika uzi!
Kwa hiyo anataka kusema Tanzania huku watu wana save vizuri kuliko Germany ? Tatizo la ku save sio dogo...Sina hasira hata kidogo ndugu yangu. Uwe Ujerumani au Tanzania au Japani, mfano ulioutoa una-relation gani na hoja ya mwanzisha thread? Ku-save vs matumizi ni tatizo lililopo kila sehemu na sioni kipya!
Kama ndivyo sawaWW NI TAPELI km cyo ni chawa wa mama.kitendo cha mtu kufika usa ni mafanikio tosha.ww mwenyew umeishia hapa bongo tu
Kwa maongezi yako tu hata kenya hujafikaMaisha ni magumu Marekani!wengi wa marekani wakija hapa wanashangaa waafrika wanaomiliki nyumba,kule ni mwendo wa kupanga!Acha kudanganya vijana kutoboa ni hapahapa.
Sawa mkuu lakini ndiyo iwe sababu ya wabongo wengi kurudi bongo wamechoka?Gharama za maisha ziko juu
Mkuu mimi nina maisha mazuri haina haja ya hiyo bahati nasibu!,Marekani huwa naenda kula Good time kisha narudi kwasababu pesa ikoNafasi za DV program zipo wazi 2025 ,changamkia fursa Acha porojo.
Kwa wale walioenda kwa malengo na wakaweza kujibana bana, wanaweza kurudi na kituSawa mkuu lakini ndiyo iwe sababu ya wabongo wengi kurudi bongo wamechoka?
Maisha mazuri nafikiri hauyajui bro , kumiliki burungutu la noti chafu ndio maisha mazuri sio?Mkuu mimi nina maisha mazuri haina haja ya hiyo bahati nasibu!,Marekani huwa naenda kula Good time kisha narudi kwasababu pesa iko
Wakukurupuka nao hatari?Mkuu muwe mnasoma nyuzi taratibu na kuzielewa halafu ndipo mchangie!.
Sijasema hakuna ambaye hataki kwenda Marekani,Pasepsheni ya watu wengi espeshali mtu mweusi ni kuwa America kuna maisha mazuri!.
HOJA NI KWAMBA
Ni kwanini Watanzania wengi waishio huko wanamaisha mabaya(Hali ngumu) tofauti na waishio kwenye nchi nyingine ikiwemo Germany?
Hii ndiyo Hoja ilipaswa ujikite kwenye hoja
Ndio maisha mazuri si ni hela ya kununua unchotaka!Ma
Maisha mazuri nafikiri hauyajui bro , kumiliki burungutu la noti chafu ndio maisha mazuri sio?
Ndio maisha mazuri si ni hela ya kununua unchotaka
Noti chafu kivipi?Ma
Maisha mazuri nafikiri hauyajui bro , kumiliki burungutu la noti chafu ndio maisha mazuri sio?
Na wengine hawana mpango wa kurudi tena kuishi bongo na akiwa bongo ni hotelKwa wengine kufika tuu Marekani ni Mafanikio makubwa.