Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Hii nchi imejaa VILAZA na VISHOKA kila mahali.

Ni kama tumekumbwa na NYUMBU SYNDROME!! Sijui kama ni BAHATI MBAYA au ni MKAKATI.


Ndio maana namshukuru sana Kaka Max Maxence Melo kwa jitihada zake za kulilinda hili jukwaa dhidi ya uvamizi wa VILAZA na VISHOKA kutoka mitandao mingine ya kijamii.

Ni mboko tu na adabu mtindo mmoja.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kunashida kubwa sana kwenye elimu yetu, na mtindo wa maisha yetu.
 
Naskia hawa hawana kabisa UTI mkuu
 

Ukweli usiosemwa, jana kulikuwa na changamoto ya mtandao. Hatujui athari zilizotokea.
 
Acha makasiriko πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…