Wabongo wengi wanapenda sana kudandia vitu visivyokuwa na maana. Rejea Wanafunzi wapya wa MNH

Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan

Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.

Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?

They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years

Wanaboa 😠

vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu
Jana nimekutana na VX V8 nyingi za serikali zinakwenda Dar, usishangae kusikia vigogo wamekwenda kupigana vikumbo Muhimbili
 
Tun
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan

Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.

Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?

They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years

Wanaboa 😠

vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu
Hizi siku mbili tatu, nikiingia status za whatsap, fb ...watu wapo busy na wanafunzi wapya waliohamishiwa MNH kutoka sudan

Chaajabu hadi watu maarufu nao wapo busy na huo uzuzu.

Hivi ina maana hamjawahi/hawajawahi kuona wadada warembo?

They are acting like they were in boarding schools for 10 consecutive years

Wanaboa 😠

vinavyo wahusu vinawashinda, busy kudandia u-shushushu
Mfadhaiko wa akili
 
Huna nguvu za kiume ndio maana huoni uzuri wa wale wadada
 
Me juzi nimecheka ,nilikuwa sehemu nikasikia watu wanaitana,haya mashabiki wa asenal,woote jumaa 3 kikao mchana,ajenda ni kujua hatma ya timu yetu,jamani vijana wa kawe hawa ,wataishauri timu hiyo ambayo ,kwanza haiwajui na haiwafikii,
 
Bro hiyo ni kazi ya kile kitengo wala usiumize kichwa. Wanataka kupotezea watu waache kujadili kuhusu ishu ya bandari imewakalia vibaya.

Kitengo kinakuja na mbinu ya kitoto kiasi hiki? Na nyie ni wajinga kiasi gani Hadi mchotwe akili kwa mambo ya kijinga jinga namna hii? Huwa nasema watanganyika ni wajinga kuliko viongozi wao this proves it even the thought of it.

For the sake of the argument, kitengo kilijua ishu ya bandari itakua muda muafaka na hawa wasudan so wakianza mipango wakitegema hili kutokea sio?
 
Bro hujui hawa jamaa wanavyofanya kaz. Hawa jambo likiwakaba serikali wanatafuta chochote cha kudraw ateshen kwa watu. Wanajua watz wanafuatilia ujinga kuliko vitu vya maana. Hawachelew kuandika Diamond afumaniwa
 
Usikariri maisha Mkuu mambo yenyewe ni mengi na yanatushinda Wacha tupate break kidogo....don't be toooo serious in life utateseka sana[emoji13][emoji13]muda mwengine unajiachia vimizaha kidogo userious kidogo life linasonga...
Nakazia, life was never mean't to be so serious,
 
Akuhamishe nani wewe, Mambo ya nchi hii ni mengi Chagua linalokupa furaha vinginevyo utakonda tu bila sababu za msingi, Hao kina Profesa T ambao Leo wanashupalia mkataba wa bandari ndio haohao waligawana pesa kwenye masandarusi. Tena wakatudhihaki kwa milio 100 kuita ni pesa ya Mboga.

Tuna matatizo yanayotugusa moja kwa moja toka Polisi, Mahakama, Nida, hospitali nk. Watu hatujui faida wala hasara inayopatikana bandarini leo tuache kujifurahisha tukazania Dudu tusilolielewa?!?
 
Back
Top Bottom