Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Akili za Baba yako aliekuzaa na ukawa shoga zinatosha Acha niangalie mpira Dotimund na RB ifike mwisho hii.
 
Sheria ipo tangia enzi ya mkoloni itungwe mara ngapi!! Sema utekelezaji ndiyo hakuna na wakienda jela ndiyo wanajifunza ushoga, labda adhabu ibadilishwe iwe viboko 100 hadharani
 

Ushoga ni kosa kisheria, sheria itungwe mara ngapi Mkuu.
Kumwingilia Mwanamke au Mwanaume kinyume na maumbile ni kosa kisheria adhabu yake ni kifungo cha miaka isiyopungua 20
 
We vipi? Angalia upepo wa ushoga unavuma kutoka wapi. Kama unavuma kutoka nchi wafadhili na wahisani itakuwa ni shughuli pevu kutunga sheria hiyo. Nchi itaandamwa kuwa inakandamiza haki za binadamu na haina demokrasia.
Kuna nchi Asia inaitwa Brunei ilipitisha sheria ya kuwaua wapenzi wa jinsia moja wakubwa kutoka magharibi wakaingilia kati kwa kisingizio cha haki za binadamu
 
Kuna nchi Asia inaitwa Brunei ilipitisha sheria ya kuwaua wapenzi wa jinsia moja wakubwa kutoka magharibi wakaingilia kati kwa kisingizio cha haki za binadamu
kwa tanzania rais awe mjanja kuhusu kutamkatamka wapenzi wa jinsia moja, asiwe kama marais wa uganda na kenya wanavyotamkatamka. Nchi za magharibi ambazo zinaunga mkono ushoga na ni wafadhili zinataka kuona kusikia nini misimamo juu ya wapenzi wa jinsia moja marais wa nchi wanazozipa misaada zinasemaje kuhusu jambo hilo
 
Tunamtaka Mama atoke nje na apinge Ushoga hadharani kabisa na wala sio kimafumbo mafumbo hii ya kupinga ushoga kwa mafumbo mafumbo haikubaliki kamwe, make kuwa neutro ni sawa tu unasapoti.

Tunataka msimamo rasimi wa Serikali kuhusu Ushoga na huo msimamo usambazwe nchi nzima, na tofauti na hapo nitaendelea kuhesabu Tanzania ni moja ya mataifa yanayo sapoti ushoga na kujifanya kupinga ushoga kimafumbo mafumbo.

Bado kauli ya Kangi Lugola kuhusu Ushoga haijawahi kakanushwa.
 
Izo unaongea ni utunzi huna andiko

Ila pedophile Muhammad kajitaja mwenyewe alikuwa anapiga mbupu katoto Cha miaka 6

Kama sio kibamia ni nini , kidume Cha miaka 60 mshedede unapenyaje kwenye mbunye ya mtoto ?
 
Tukifanya utafiti kupitia member humu, nimegundua mapunga ni wengi sana.
Pedophile Muhammad angekuwa kipindi hichi , lazima tungemkata dudu tutupie mbwa

Mjinga Sana anabakwa vitoto
 
Hospital za serikali baadhi huwapatia vilainishi mashoga ukumbuke hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sahivi maduka ya dawa muhimu, wanauza 5k.
 
Kitu kinachonishangaza ni kampeni mnayopinga kataa ushoga mitandaoni wakati ushoga upo ndani ya nyumba zenu !! Nadhani kila mwana kaya aanze na familia yake.
Bora hata wee usemeee, huenda wata kuelewa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka km mwehuuu hapaaa.
 
Watunge sheria wakati sheria zipo na zikataza, au hujui kabisa sheria? Ukifanya mapemzi kinyume adhabu yake miaka 30, sheria ipo
Sasa mbna hawajawahi kufungwa?? Ile sheria iko relevant kwenye ulawiti, na sio ushoga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeee
 
Hakuna mbunge atafanya hivo ,unataka wapigwe ban kwenda kula bata paris na berlin
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu weuweeeeeeeeeeeeeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…