Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,550
- 5,379
Akili za Baba yako aliekuzaa na ukawa shoga zinatosha Acha niangalie mpira Dotimund na RB ifike mwisho hii.Ungekua una akili ungerudi tena juu na kuona uliponi quote, mimi sikurupuki,
Sir Elton John unamjua vizuri hebu nenda kamgoogle ndio uje uongee uzushi wako hapa eti baada ya kujitangaza akaporomoka kimuziki,
Nimekwambia Mashoga wameleta maendeleo Marekani au nimeandika hizo Nchi zilizoruhusu Ushoga zina Maendeleo na Misaada mnakinga kwa hao hao wakati nyie mnaokaza kuupinga uhakika wa Maji safi na Afya bora hamna,
Pole upewe wewe unayekaza kupinga vitu vya kijinga na kuacha vitu vya maana,
Elimu, Elimu, Elimu