Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Wabunge kama kweli mnalipenda taifa hili na kizazi chake tungeni sheria kupiga marufuku ushoga

Nyie mnashindwa kuwazuia humu wale wa kataa ndoa hao ndo wanaanzisha ushoga badae nilimuelewa jamaa mmoja humu alileta uzi wa mfumo dume inabid tuishi ivo
Mfumo dume utasaidia vipi kuondoa ushoga?
It's too late,wanawake sio maboya tena. Maboya wamebaki wachache
 
Ulawiti upo kwenye familia zenu watoto mnawaharibu wakiwa wadogo.
Siyo familia zenu, wewe ukijitoa, yote yanayotendwa na watu, mazuri na mabaya, hutendwa na familia ila nikukumbushe, mitandao ina nguvu yake.
Panya road wanatoka kwenye familia ila humu pia tuandika kupeana mbinu, za kupambana nao.

Binafsi mitandao na maandiko ya mara kwa mara, imeniamsha kufanya vikao na familia yangu, kuelezeana ubaya juu ya ushoga na tabia kizinzi kijumla.
 
Hawapingi ushoga, bali wanazungumzia ushoga kupinga ushoka ni kuweka mikakati kama vile madawa kulevia, ubakaji, kupatika na silaha, kuozesha mtoto chini ya miaka 18. Hayo niliyotaja ndio yanayopigwa vita na hao wanaosema sio ushoga ndugu, lakini Waafrika ni wanafiki sana, wanajitia kupiga vita ushoga hali ya kuwa kwenye majumba yao kuna watoto wao, dada zao, mama zao kutwa wana kodisha miili yao kwa wanaume. Hili ni zinaa, halafu wanajiita watu wa dini. Dini gani inayopinga ushoga na kuruhusu ukahaba hovyo kabisa?
Haimaanishi ukiwa una pinga jambo, basi haliwezi kuathiri kwenye familia yako. Unaweza sema wee, ila nafsi ya mtu, ina siri kubwa

Mfano unaweza kuta mtoto wa kike, anasoma shule ambayo mzazi analipa ada kubwa sana, na mahtaji yote anapewa, ila mwisho wa siku mtoto anapigwa mimba.
Unadhani mzazi, anapenda mtoto wake ajihisishe mapenzi, akiwa mwanafunzi.

Msitake watu wakae kimya eti wasikemee, sababu yapo pia kwenye famila zetu, na kwasababu sote tu waathirika na tabia ushoga, ndiyo maana tunakemea.
 
Kwa jinsi Tanzania ilivyo na changamoto nyingi kuanzia Maji, Umeme, Afya, Elimu, Uchumi, Ajira, Ufisadi, Rushwa,n.k

Halafu Wananchi wasililie hayo wakalilie sheria ya kupinga Ushoga aisee tutaendelea kutawaliwa vizazi na vizazi kwa ujinga wetu.
Kila Changamoto inapiganiwa, wewe umeandika lini mada inayohusu changamoto alau moja tu kati hizo ulizozitaja, ili kumsha maoni ya wadau.

Hili la ushoga tukiacha kulisemea sababu hatuna maji ya kutosha huduma zingine, jua miaka 50 ijayo nchi itaharibika kabisaa, maana fikilia robo wanaume wakiishi kama wanawake, huoni itakuwa nchi ya walema watupu.
 
Kwanini unampinga Muhammad alikuwa anapiga mbupu katoto ka miaka 6 ka mama Cha waislamu Aisha
Tukifanya utafiti kupitia member humu, nimegundua mapunga ni wengi sana.
 
Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuki." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?
Ushoga na ufisadi ni kama bp na kisukari
 
Acha makasiriko
Mbusu jiwe mwenzako kasema ni mbaya kuoza mtoto
Kajisahau mudy alikuwa anapiga mbupu mbaya kabisa katoto Cha miaka 6 ka Aisha , kakachakaza mbaya kabisa mudy kafa ka Aisha ndo kana miaka 18
Mashoga mmeamua kuhamishia mada, kwenye Dini tena.
 
Ukweli usemwe tusipindishe na kujificha

Pedophile Muhammad alikuwa na kibamia na hakutahiriwa alikuwa Govinda , na pia kichaa

Kidume kamilifu huwezi ingilia katoto ka miaka 6
Ni bora huyu, aliekua na kibamia, bado alikua anapekea moto, kuliko alievuliwa nguo akapelekewa yeye moto.

Kile kinepi kinacho oneka kwenye picha kutunga, ni kwa ajili ya stara tu, ila jamaa alikua uchi wa mnyama, wamemtumia wee alafu wakamuua.

Maana mashoga mmeamua kuhama mada, mmehamishia kwenye dini, ili mtuvuruge tuseme mmefaulu.
 
Kila Changamoto inapiganiwa, wewe umeandika lini mada inayohusu changamoto alau moja tu kati hizo ulizozitaja, ili kumsha maoni ya wadau.

Hili la ushoga tukiacha kulisemea sababu hatuna maji ya kutosha huduma zingine, jua miaka 50 ijayo nchi itaharibika kabisaa, maana fikilia robo wanaume wakiishi kama wanawake, huoni itakuwa nchi ya walema watupu.

Ujinga Ujinga Ujinga
Wakati huo hamna hata kiwanda cha kueleweka unawaza miaka 50 ijayo Nchi kua na Mashoga,
Hizo Nchi zilizoruhusu huo Ushoga zinazidi kuchanja mbuga na misaada zinawaletea
 
Ujinga Ujinga Ujinga
Wakati huo hamna hata kiwanda cha kueleweka unawaza miaka 50 ijayo Nchi kua na Mashoga,
Hizo Nchi zilizoruhusu huo Ushoga zinazidi kuchanja mbuga na misaada zinawaletea
Kama kweli, unaelimu, ungeanza kusoma Quote, ndipo ukaandika, nili mquote, ameandika, tukitokomeza UJINGA, ushoga utatokomea wenyewe, ndipo nikampa mfano wa nchi amazo wametokomeza ujinga, na mashoga bado wapo.
Kwahiyo ushoga upigwe vita kwa silaha yeyote ile.

Hata hivyo, walioleta maendeleo marekani siyo mashoga, sijui umri wako, kuna mwanamuziki, anaitwa Elton John, alikua mwanamziki mkubwa sana Duniani. alipo amua kuolewa na shuguri za mziki zimekufa, mashoga wengi tu, wakisha jiweka wazi, hupotelea hapo, maana ni kazi ya laana, kama nawe ni mmoja wapo pole sana.
 
Ungekua una akili ungerudi tena juu na kuona uliponi quote, mimi sikurupuki,

Sir Elton John unamjua vizuri hebu nenda kamgoogle ndio uje uongee uzushi wako hapa eti baada ya kujitangaza akaporomoka kimuziki,

Nimekwambia Mashoga wameleta maendeleo Marekani au nimeandika hizo Nchi zilizoruhusu Ushoga zina Maendeleo na Misaada mnakinga kwa hao hao wakati nyie mnaokaza kuupinga uhakika wa Maji safi na Afya bora hamna,

Pole upewe wewe unayekaza kupinga vitu vya kijinga na kuacha vitu vya maana,

Elimu, Elimu, Elimu
 
Hii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.

Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuki." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?

Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.

Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?

Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.
samia mwenyewe hawezi kukemea wala kupinga hadran kama ruto
 
Back
Top Bottom