Samaritan Nemesis
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 239
- 284
Si wanasema na yeye CHAKULA!!Tena wakati makonda anawatia ndani mashoga alitukanwa na hawahawa bavicha .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wanasema na yeye CHAKULA!!Tena wakati makonda anawatia ndani mashoga alitukanwa na hawahawa bavicha .
Mfumo dume utasaidia vipi kuondoa ushoga?Nyie mnashindwa kuwazuia humu wale wa kataa ndoa hao ndo wanaanzisha ushoga badae nilimuelewa jamaa mmoja humu alileta uzi wa mfumo dume inabid tuishi ivo
Sio kweli..shule za boarding hazijaanza leo. Malezi mabovu mnayowapa watoto wenu yanasababisha yote haya.Ukweli mchungu
"Shule za boarding zinachangia kwa kiasi kikubwaa"
Siyo familia zenu, wewe ukijitoa, yote yanayotendwa na watu, mazuri na mabaya, hutendwa na familia ila nikukumbushe, mitandao ina nguvu yake.Ulawiti upo kwenye familia zenu watoto mnawaharibu wakiwa wadogo.
IrrelevantNyie mnashindwa kuwazuia humu wale wa kataa ndoa hao ndo wanaanzisha ushoga badae nilimuelewa jamaa mmoja humu alileta uzi wa mfumo dume inabid tuishi ivo
Sio kweli..shule za boarding hazijaanza leo. Malezi mabovu tunayowapa watoto yanasababisha yote haya.Ukweli mchungu
"Shule za boarding zinachangia kwa kiasi kikubwaa"
ukweli mchungu . Ni suala la muda tuKwa bahati mbaya ushoga ndio kwanza unabisha hodi na kama ilivyokuwa Ulaya ushoga utakuwa kawaida na haki ya mtu hata hapa nchini.
Haimaanishi ukiwa una pinga jambo, basi haliwezi kuathiri kwenye familia yako. Unaweza sema wee, ila nafsi ya mtu, ina siri kubwaHawapingi ushoga, bali wanazungumzia ushoga kupinga ushoka ni kuweka mikakati kama vile madawa kulevia, ubakaji, kupatika na silaha, kuozesha mtoto chini ya miaka 18. Hayo niliyotaja ndio yanayopigwa vita na hao wanaosema sio ushoga ndugu, lakini Waafrika ni wanafiki sana, wanajitia kupiga vita ushoga hali ya kuwa kwenye majumba yao kuna watoto wao, dada zao, mama zao kutwa wana kodisha miili yao kwa wanaume. Hili ni zinaa, halafu wanajiita watu wa dini. Dini gani inayopinga ushoga na kuruhusu ukahaba hovyo kabisa?
Kila Changamoto inapiganiwa, wewe umeandika lini mada inayohusu changamoto alau moja tu kati hizo ulizozitaja, ili kumsha maoni ya wadau.Kwa jinsi Tanzania ilivyo na changamoto nyingi kuanzia Maji, Umeme, Afya, Elimu, Uchumi, Ajira, Ufisadi, Rushwa,n.k
Halafu Wananchi wasililie hayo wakalilie sheria ya kupinga Ushoga aisee tutaendelea kutawaliwa vizazi na vizazi kwa ujinga wetu.
Tukifanya utafiti kupitia member humu, nimegundua mapunga ni wengi sana.Kwanini unampinga Muhammad alikuwa anapiga mbupu katoto ka miaka 6 ka mama Cha waislamu Aisha
Ushoga na ufisadi ni kama bp na kisukariHivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuki." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?
Mashoga mmeamua kuhamishia mada, kwenye Dini tena.Acha makasiriko
Mbusu jiwe mwenzako kasema ni mbaya kuoza mtoto
Kajisahau mudy alikuwa anapiga mbupu mbaya kabisa katoto Cha miaka 6 ka Aisha , kakachakaza mbaya kabisa mudy kafa ka Aisha ndo kana miaka 18
Ni bora huyu, aliekua na kibamia, bado alikua anapekea moto, kuliko alievuliwa nguo akapelekewa yeye moto.Ukweli usemwe tusipindishe na kujificha
Pedophile Muhammad alikuwa na kibamia na hakutahiriwa alikuwa Govinda , na pia kichaa
Kidume kamilifu huwezi ingilia katoto ka miaka 6
Kila Changamoto inapiganiwa, wewe umeandika lini mada inayohusu changamoto alau moja tu kati hizo ulizozitaja, ili kumsha maoni ya wadau.
Hili la ushoga tukiacha kulisemea sababu hatuna maji ya kutosha huduma zingine, jua miaka 50 ijayo nchi itaharibika kabisaa, maana fikilia robo wanaume wakiishi kama wanawake, huoni itakuwa nchi ya walema watupu.
Kama kweli, unaelimu, ungeanza kusoma Quote, ndipo ukaandika, nili mquote, ameandika, tukitokomeza UJINGA, ushoga utatokomea wenyewe, ndipo nikampa mfano wa nchi amazo wametokomeza ujinga, na mashoga bado wapo.Ujinga Ujinga Ujinga
Wakati huo hamna hata kiwanda cha kueleweka unawaza miaka 50 ijayo Nchi kua na Mashoga,
Hizo Nchi zilizoruhusu huo Ushoga zinazidi kuchanja mbuga na misaada zinawaletea
Kama kweli, unaelimu, ungeanza kusoma Quote, ndipo ukaandika, nili mquote, ameandika, tukitokomeza UJINGA, ushoga utatokomea wenyewe, ndipo nikampa mfano wa nchi amazo wametokomeza ujinga, na mashoga bado wapo.
Kwahiyo ushoga upigwe vita kwa silaha yeyote ile.
Hata hivyo, walioleta maendeleo marekani siyo mashoga, sijui umri wako, kuna mwanamuziki, anaitwa Elton John, alikua mwanamziki mkubwa sana Duniani. alipo amua kuolewa na shuguri za mziki zimekufa, mashoga wengi tu, wakisha jiweka wazi, hupotelea hapo, maana ni kazi ya laana, kama nawe ni mmoja wapo pole sana.
samia mwenyewe hawezi kukemea wala kupinga hadran kama rutoHii nchi ina viongozi wa ajabu sana naweza kusema hvyo. Yaani wanajali matumbo yao kuliko vizazi vya taifa hili. Tumeona Uganda na Kenya Marais wao wamejitokeza hadharani kuupinga ushoga wazi wazi lakini Tanzania sijaona kiongozi yoyote hata Mwenyekiti wa mtaa akiliongelea jambo hilo.
Hivi mama Samia Mbona sikusikii katika hili? Kizazi kinaharibika mikononi mwako hiki. Simama zungumza hadharani sio zile propaganda mara sijui msiige kutoka sijui wapi. Simama mbele ya hadhara zungumza kwa sauti dunia ikusikie kwamba "Mimi kwenye nchi yangu ushoga ni marufuki." Kwani jamani hiyo misaada sisi ndio tutakuwa wa kwanza kuikosa? Kwani tutakufa? Pamoja na hiyo misaada mbona mchele ni 3500 na mafuta ni 8000/tr mbona hatufi?
Na nyie Wabunge mnaojiita mnawawakilisha wananchi ndio bure kabisa. Hivi kweli hamuoni kizazi kinavyoangamia hiki? Sasa angalia askari naye kafanya yake. Yaani mume wa mke na baba wa watoto na askari mtuliza ghasia naye ni shoga. Hivi hamuoni kama tumefika mbali sana? Potelea pote, peleka muswada wa sheria, itungieni sheria kwamba ushoga na usagaji ni kosa tena litungiwe adhabu kali. Dunia itaiheshimu Tanzania.
Yaani mnajali tu hiyo misaada mnasahau kabisa kizazi kijacho. Hivi kweli nchi kama Tanzania sasa ushoga umeingia mpaka jeshini kuna usalama hapa kweli?
Nayaandika haya kwa uchungu sana. Kinachoniuma sijaona kiongozi hata mmoja mwenye dhamira ya dhati ya kulikomesha hili. Inabaki ni propaganda tu lakini kama nchi hatuna msimamo katika hili.