Wanakurupuka waligoma kwenda bungeni ili waikomeshe serikali ila wamejivuruga wenyewe kufukuzanaIla chadema kama chama kina drama nyingi hiyo karantini badala ya kuwasaidia imezidi kuwagawanya mpaka wamefukuza wabunge wao ingawa utekelezaji ni mgumu wamejulikana wamechukua pesa bila kufanya kasi ambalo ni kosa kubwa kisiasa na wamewapa faida wapinzani wao
Umepanic!Hawezi kumzidi bichwa aliyejificha mapangoni huko. Bichwa kama tango pori [emoji16] [emoji16]
Litawehuka lile bichwa, sio mimi 😷 😷 Jikinge na corona kwa kuvaa barakoa, sio kujificha mapangoni 🙂🙂
Mimi siko hapa kufanya vitisho Kama ninyi mlivozoea mkiona mtu anawazidi maarifa .Kingine hao Kina lwakatare na silinde and co..hawakumpuuza mbowe,walikaidi maamuzi ya kamati kuu.sio mbowe(msipotoshe) ndo maana wamevuliwa uanachama,na spika anajikuta anavunja katiba kisa mna madaraka hakuna wa kuwafanya kitu. Sasa mnajikuta mnawatetea hao wabunge utadhani mna maslahi nao kiitikadi kumbe wenye akili tunajua kinachoendelea.nyie endeleeni na utabularasa wenu Ila akili kubwa CDM hamtaiweza nawaambia Tena na Tena!!!!bungeni watarudi vizuri bila masharti yoyote ya kipumbavu mnayotoa...CDM wanawachezesha ngoma hamjitambui mnabinuka binuka tu.hamna akili nyie woteeeee wa awamu hii.QUOTE="santesandy, post: 35365728, member: 82822"]Unamtisha nani sasa? Mtafanya nini wakati akili zenu zilishafika mwisho?
Hukuwaona wabunge waliompuuza Mbowe baada ya kuwaambia wakae karantin?
Ona sasa mnarudi kulekule
Sent using Jamii Forums mobile app
Samani mkuu, hivi Kwa mfano mtu akitaka kujua faida mtu anayoipata Kwa kuwekeza kwenye matusi na kutweza utu wa mtu, unaweza ukawa na jibu kweli, ama mtu yeyote anayependelea kutukana Tu watu na matusi yasiyo na mpangilio, anaweza akatwambia faida yake kweli?Hawezi kumzidi bichwa aliyejificha mapangoni huko. Bichwa kama tango pori 😁 😁
[/QUOTE]Hahahahha... Hivi umepanic hivi kwa ajili ya nini? Chukua bunduki nipige basiMimi siko hapa kufanya vitisho Kama ninyi mlivozoea mkiona mtu anawazidi maarifa .Kingine hao Kina lwakatare na silinde and co..hawakumpuuza mbowe,walikaidi maamuzi ya kamati kuu.sio mbowe(msipotoshe) ndo maana wamevuliwa uanachama,na spika anajikuta anavunja katiba kisa mna madaraka hakuna wa kuwafanya kitu. Sasa mnajikuta mnawatetea hao wabunge utadhani mna maslahi nao kiitikadi kumbe wenye akili tunajua kinachoendelea.nyie endeleeni na utabularasa wenu Ila akili kubwa CDM hamtaiweza nawaambia Tena na Tena!!!!bungeni watarudi vizuri bila masharti yoyote ya kipumbavu mnayotoa...CDM wanawachezesha ngoma hamjitambui mnabinuka binuka tu.hamna akili nyie woteeeee wa awamu hii.QUOTE="santesandy, post: 35365728, member: 82822"]
Hotuba ya kambi ya upinzani ilikua isomwe mapema kabisa kabla ya quarantine ya CHADEMA, spika aliikataa!
Ndio litakutoa baru hilo hutapata mbunge hata mmoja na ruzuku mwisho mwaka huu!Litawehuka lile bichwa, sio mimi [emoji40] [emoji40] Jikinge na corona kwa kuvaa barakoa, sio kujificha mapangoni 🙂🙂
Mkuu huyo ni kupanic baada ya kuona kiki ya kukaa karantini imeishia kuwavuruga wao wenyewe.Samani mkuu, hivi Kwa mfano mtu akitaka kujua faida mtu anayoipata Kwa kuwekeza kwenye matusi na kutweza utu wa mtu, unaweza ukawa na jibu kweli, ama mtu yeyote anayependelea kutukana Tu watu na matusi yasiyo na mpangilio, anaweza akatwambia faida yake kweli?
Ikizingatiwa kila mtu anaulemavu wake mkuu!!!!
Kima wewe. Unadhani wote tunategemea ruzuku kama ukoo wenu?Ndio litakutoa baru hilo hutapata mbunge hata mmoja na ruzuku mwisho mwaka huu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali hili muulize yule niliyemjibu, au vipi 😷 😷 Usisahau kujikinga na corona kwa kuvaa barakoa.Samani mkuu, hivi Kwa mfano mtu akitaka kujua faida mtu anayoipata Kwa kuwekeza kwenye matusi na kutweza utu wa mtu, unaweza ukawa na jibu kweli, ama mtu yeyote anayependelea kutukana Tu watu na matusi yasiyo na mpangilio, anaweza akatwambia faida yake kweli?
Ikizingatiwa kila mtu anaulemavu wake mkuu!!!!
Ndugai kaufyataWameingia Bungeni? Tupeni updates!
Be sincere uwakilishi gani? Hili bunge hata lisingekuwepo ni sawa tu!Ni Jambo jema japo kimsingi kuna mambo yameshawapita hasa hotuba za Kambi ya Upinzani kutokuwasilishwa, hili ndilo lilikuwa kosa kubwa sana na nasikitika kwanini mlilipuuza maana wananchi wamekosa uwakilishi ambao wengi wetu tunategemea kambi ya Upinzani wangekuwa wawakilishi wetu
Kamuulize Mbowe atakujibu we pakaKima wewe. Unadhani wote tunategemea ruzuku kama ukoo wenu?
Mbowe mumeo?
kama umesoma epidemiology usingeliandika hivyo. Pale kulikuwa ni hotspot ya coronavirus. It was right ku pa lock from everybody to enter. Hivyo what they did is what is expected of a sensible manNirudi kwenye mada ivi chadema mmefanya nn hikikwaio mlikaa karantin kukimbia Corona leo mnatutangazia kua mnarud bungeni Kwan Corona imeisha?