GE2025 Wabunge wa sasa waliokatwa kugombea CCM hawa hapa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Orodha ya wabunge watakaofyekelewa mbali itaongezeka raundi ya pili tusumbiri, kuna majimbo wabunge wake wa sasa ni reject zamu yao ya kufyekelewa mbali yaja
 
Kinambi na akili yake kubwa hawezi kukaa bunge lijalo. Gwajima hakuchukia form kumuweke kwenye title ya waliokatwa si sawa.
 
Mbunge wa karatu
 
Namba 6 ataandaliwa ubalozi wa nchi za mbali ili aache unyemelezi
 
Mathayo WA musoma MJINI amenikumbusha mbali , enzi HIZO nasoma pale musoma. JAMAA ALIKUA MTU POA just imagine pale KWENYE sheli yake ya mafuta ALIACHA maagizo MTU yoyote akiwa na SHIDA apewe ratiba SIKU atayokuepo ILI asaidiwe. Kuna JAMAA mwanafunzi HAkUA na FEDHA ya matumizi, alienda akamkuta akaja kunambia mathayo kampa PESA . JAMAA ALIKUA POA nimeona wasanii wanakimbilia kuchukua fomu , nikajiuliza Hawa wataweza kweli kutatua SHIDA za WATU direct, au watakuwa wanajificha. wazee SI KAZ nyepesi.



Kwishaaaaaaaa
 
Kwa hiyo kaka bwana Lukas hata udiwani hutaki utapiga zumari mpaka lini
 
Wamekula kichwa jimbl litaenda kwa Rita Kabati
Kwahili akina Mwamoto wamefanikiwa. Alafu mbaya zaidi aliyekuwa anategemewa na kukubalika na watu wengi Brayani Kikoti naye wamemkata.

Inasikitisha sana ukoo wa Mwamoto kurudi tena bungeni sasa kupitia Dada yao. Lile pigo walilompiga rafiki yangu Nyamoga kupitia kumchomekea mauaji ya yule katibu, limemuweza sana jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…