Tetesi: Wabunge wengine watatu wa upinzani kuhamia CCM

Subirini mnyooshwe kwanza

Mlijidai mkakamatwa kwenye vyeti feki

Then tukawafuata kwenye EFD ili magendo mliyokuwa mkifanya CHAGA DEVELOPMENT MANIFESTO yakome.

Mmeshasalimu amri ingawa bado tutawashughulikia tu.
Labda mhamie Kenya
 
Reactions: UCD
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!


Ingekuwa ni mwili, basi tungekuwa tunazungumzia kubakia skeleton
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Baki na mimacho yako mfyuuuu
 
Kwa hizi movie za JPM, watu watabaki kuwashangaa tu maana kila siku ni afadhali ya jana.
Mkuu Salary slip, kwa kweli wacha waende tu wakachukue nafasi huku mataahira ya ccm yakiwekwa kapuni! Hii inadhihirisha kuna uhaba Mkubwa wa vichwa huko ccm maana vichwa vingi viko UKAWA! Lakini kichaa gywe ajue kabisa mioyoni mwa hao anaowanunua hatafuta viinilishe vya upinzani! Tuyazomee mataahira ya ccm yanayojidai kupigania chama, hhhhaayyyyoooooo!!
 
Waondoke kabla ya deadline wasituchoshe sie
 
Afadhari wakaisaidie sisiem,maana kule hakuna tena wagombea.
 
Write your reply.
unasema wabunge wenye ushawishi? iko hivi, watu walioko chadema sio wafuasi wa watu ni wafuasi wa falsa na itikadi, chadema hakuna aliejuu ya katiba, ukiona kiongozi anaushawishi basi anauishi mfumo wa chama vizuri anakua sawa na mamba anapokua kwenye maji, mamba akitoka kwenye maji nguvu zake zinaisha. Hata hao unaowaita wanaushawishi wakishaondoka ndani ya chadema ushawishi wao umaarufu na ushawishi wao utaishia hapo.
 
Kuna tetesi kuwa wabunge 'wazito' na 'wenye ushawishi' kutoka kundi la UKAWA watahamia CCM muda wowote kuanzia sasa. Hili likifanyika, litadhoofisha sana timu iliyobaki upinzani.

Yetu macho!
Bado hawatafaulu kwa karne hizi
 
Mboye anaendelea kumbeba Mashinji tu Chama kinazidi kupotea kwenye ramani za kisiasa
Hata mimi nilikuwa nadhani chadema inapotea..lakini of recent nimegundua kuwa ccm inatapatapa..haikubaliki kabisa inatumia nguvu kubwa mnooo ya dola na fedha..na rushwa ya vyeo kwa watu toka opposition..

Nampongeza sana Mbowe..ni kiongozi chuma haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…