Wachambuzi mbona hawaongelei suala la muda ambao goli limefungwa?

Hizo dk zilikuwa za Simba tu? Wengine waliambiwa waacheni Simba wacheze mfungwe.
Mpira ni mchezo wa malengo. Kuna upande utahitaji dakika nyingi na kuna upande utahitaji dakika chache.

Wale jamaa ni kweli walikuwa wanapoteza muda na ndio maana zikaomgezwa dakika saba
. Ndani ya dakika saba za nyongeza hawajapoteza muda kabisa, nafikiri refa ameamua tu kuwakomoa.
 
Dakika za nyongeza azinaga nyongeza Babu,,dakika zilishakwisha za kawaida na nyongeza sasa zile nyingine alitaka kitu Gani!
Makavuli usibahatishe basi.... refaa ndiye mwamuzi wa mwisho hata kama dakika za nyongeza zilipoanza na timu moja ikawa inapoteza muda makusudi.
 
Refa alijua kibu atafunga baada ya dk 7 za nyongeza kuisha?
 
Hapa ndipo naposhaangaa hawa wachambuzi yaani ni kama hiyo kasoro hawajaiona.

Yaani hao saa ya kocha hawaioni japo Camera inaionyesha vizuri?
Kasome Sheria Namba SABA (Duration of the match) yaani muda wa mchezo, ambao kifungu cha tatu kinazungumzia muda uliopotezwa, yaani Fidia ya Muda, ambapo hutolewa kwa sababu mbalimbali ikiwemo upotezaji muda bila sababu, na mliopo uwanjani mliona namna gani Sfaxien walikuwa wanakumbushwa kuhusu hilo suala na Fourth Official.

Kwahiyo dakika saba zilipoisha, Refa alikuwa na dakika za ziada kutokana na tabia za Sfaxien, hapo ndipo shida ilipoanza na ndio dhahama yote kutokea.
 
Mama samia anaupiga mpira mwingi.
Mitano tena kwake
Yeyoooooo mama wape simba pesa yao ya goli mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…