Kama hayo yote ni kweli, mbona walimchagua Biden na walimkataa Trump?Wamarekani wamechoka na sera za Democrats kuingiza wanaume kwenye minchezo ya watoto wao wa kike, wataichagua Republican
Wamarekani wamechoka na sera za kibaguzi za Democrats DEI, watachagua Republicans
Wamarekani wamechoka sera za Democrats kufungua mipaka kwa illegal immigrants, watachagua republicans
Wamarekani wamechoshwa na marais wanaocheat kwenye kampeni wanaoeditiwa interviews, watachagua republicans
Wamarekani wamechoka mamia ya mabilioni ya dola ya kodi zao kutumika kutatua matatizo ya nchi zingine kuzidi wao, watachagua Republicans
Wamarekani wamechoshwa na mambo ya jinsia mpya kila kukicha, watachagua republicans
NA HAITAKUWA MARA YA KWANZA, REAGAN ALIPOMALIZA URAIS BUSH ALIUNGA
Pia, Trump ana face pressure ya Wamarekani wengi sana aache kujimwambafy bila strategy ya kueleweka, mpaka ma Republicans na ma prominent CEOs wa Wall St banks wanasema nchi na dunia inaweza kwenda kwenye recession.
Mfano mmoja ni Jamie Dimon wa JP Morgan Chase, one of the top US banks.
Naona kiingereza ni changamoto kwako. Haujamuelewa Lin JianKabla ya hiyo press kuisha kasema milango ya majadiliano iko wazi.
Alimaanisha nini kama hataki kupiga magoti? Why aseme hataongeza tena?
Tesla hata Wamarekani wameanza kampeni ya kuzisusa kutokana na ujinga wa Elon Musk.Umesema vyema
Tesla nao wanalia wanasema kwa sasa kwenye website yao hakuna tena order ya model X na model S kutoka China
Wamesema kwa sasa hakuna mteja kutoka China atakayenunua hayo magari kwa sababu ya tariffs
Model X na S huwa zinatengenezwa Marekani tu
Ulaya napo soko la Tesla limeshuka sana.Tesla hata Wamarekani wameanza kampeni ya kuzisusa kutokana na ujinga wa Elon Musk.
Tesla sales tumble 13% as Musk backlash, competition and aging lineup turn off buyers
Tesla sales fell in the first three months of the year in another sign that Elon Musk’s once high-flying electric car company is struggling to attract buyers.apnews.com
Discipline ya Asia ya mbali hupati popote duniani kwa sasa, Hakuna Mbadala wa wachina tofauti na Korea, Japan etc ambazo nazo haziwezi Kubali kufanywa hivyo.Marekani anataka amtengeneze mhindi kuwa mbadala wa china hapo Asia hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
🤣😳Khaa jmnMarekani qnatutoza Tanzania ushuru wa 10% kwa sababu gani, tumemkosea nini? Kitu gani Marekani ametaka auze Tanzania tukamkatalia?
Trump hana huruma, Tanzania ni mojawapo ya nchi masikini zaidi Duniani, hakuna huruma hata kidogo?
Hizo cheap products za electronics hazina mlango wa kuingilia Marekani ndugu yangu.Marekani hawezi ku survive hii vita kwa sababu anamtegemea sana Mchina kupata cheap products kuanzia electronics mpaka ma toys mpaka nguo.
Watu waliokwishazoea kununua cheap products za kutika China huko Walmart na Amazon.com ukiwauzia vitu hivyo mara tatu ya bei ya sasa wanaweza hata kumuua Trump.
Unaishi nchi gani mkuu?
Discipline ya Asia ya mbali hupati popote duniani kwa sasa, Hakuna Mbadala wa wachina tofauti na Korea, Japan etc ambazo nazo haziwezi Kubali kufanywa hivyo.
Highend tech zinataka discipline ya kufa mtu, even ICU ya Hospitali ni cha mtoto compare na hizo project kuanzia Usafi, utulivu, kukaa masaa mengi kazi etc.
Ndio maana nchi zote Hadi Usa wana struggle, sembuse India?
Kuna ujinga fulani mtu akishakuwa na hela nyingi, akishaweza kurusha maroketi anajiona anaweza kufanya kila kitu.Ulaya napo soko la Tesla limeshuka sana.
Nimeanza kuona Elon amekuwa kimya sana kuna kitu amejifunza. Amepunguza ile kasi yake.
Ila imeshakuwa too late
Aisee Wamarekani huwajui wewe!Wamarekani wamechoka na sera za Democrats kuingiza wanaume kwenye michezo ya watoto wao wa kike, wataichagua Republican
Wamarekani wamechoka na sera za kibaguzi za Democrats DEI kujaza watu kwa kigezo cha rangi, lgb, n.k. hata wanapokuwa hawana sifa kamilifu, watachagua Republicans
Wamarekani wamechoka sera za Democrats kufungua mipaka kwa illegal immigrants, watachagua republicans
Wamarekani wamechoshwa na marais wanaocheat kwenye kampeni wanaoeditiwa interviews, watachagua republicans
Wamarekani wamechoka mamia ya mabilioni ya dola ya kodi zao kutumika kutatua matatizo ya nchi zingine kuzidi wao, watachagua Republicans
Wamarekani wamechoshwa na mambo ya jinsia mpya kila kukicha, watachagua republicans
NA HAITAKUWA MARA YA KWANZA, REAGAN ALIPOMALIZA URAIS BUSH ALIUNGA
Hazina mlango maana yake nini?Hizo cheap products za electronics hazina mlango wa kuingilia Marekani ndugu yangu.
Hazina mlango maana yake nini?
Kwani mimi nimesema zina mlango?
Hizo redio,feni,tv,pasi,toarch,friji etc. Zinazoenda Marekani ni zenye quality kubwa sana (sio cheap products) kama unavyozani.Hazina mlango maana yake nini?
Kwani mimi nimesema zina mlango?
Nahapa ndio usenge aa jf hata mkata majani anacomment intelligent issues kwa heresyVitu vya uchumi waachiwe wachumi sio kila mambo yanahitaji ushabiki wa Simba na Yanga.
Hawa watu wengine naona wanaandika kuhusu Wamarekani kama wakiwa nje ya Marekani, kwa kusoma hapa na pale habari kiduchu kuhusu siasa za Marekani.Aisee Wamarekani huwajui wewe!
Kama walimfurusha Rais aliyekuwa na approval rating ya 89% mwaka mmoja tu baada ya ushindi wa vita vya ghuba ndo washindwe kubadili chama tawala?
George H. W. Bush baada ya gulf war mwaka 1991, alikuwa na approval rating ambayo haijawahi kufikiwa na Rais mwingine yeyote yule. Hata Ronald Reagan aliyeshinda majimbo 49 kati ya 50 kwenye reelection yake, hakuwahi kufikia hiyo level.
Rais mwingine ambaye amewahi kufikia hiyo level ni George Washington….na hii ni baadaye sana, siyo wakati akiwa Rais.
Baada ya vita vya Vietnam, ambapo kimsingi Marekani haikushinda, Wamarekani walikuwa wako down sana na pride yao.
Rais Bush aliirejesha hiyo pride kwa kushinda hiyo vita ndani ya wiki chache tu.
Umaarufu wake huo ukawafanya baadhi ya wanasiasa, mfano Mario Cuomo, kuachana na habari kugombea urais maana ilionekana kama Bush alikuwa unbeatable.
Hiyo ilikuwa ni mwaka 1991. Mwaka uliofuata, 1992, kwenye uchaguzi mkuu, Rais Bush akapigwa na kitu kizito kilichowaingiza vijana wawili toka kusini mwa Marekani White House.
2028 ni mbali sana kuwa count out Democrats.
Trump akiendelea na hizi whims zake, atawaharibia Republicans wenzake na usishangae akaibuka Democrat ambaye hata hajulikani na kushinda huo uchaguzi.
Trump has no plan. He’s winging it.
But, he has time for course correction.
Question is, will he course correct or not?
I won’t hold my breath on it.
I’m as objective as they come.Mkuu huwa unaongea sana fact naamini Nyani Ngabu na genge lake huwa wanakuelewa ila wameamua tu kuwa wapinzani
Sijaongelea cheapness ya quality, naongelea cheapness ya cost of production inayooelekea bei kuwa cheap.Hizo redio,feni,tv,pasi,toarch,friji etc. Zinazoenda Marekani ni zenye quality kubwa sana (sio cheap products) kama unavyozani.
Ni kwasababu Babu Biden aliiba uchaguzi, Mashine nyingi ziliglitch na kuwapa ushindi democtats, Mail in ballots Democrat walijaza magunia ya kura feki, kupiga kura bila voting ID, n.k.Kama hayo yote ni kweli, mbona walimchagua Biden na walimkataa Trump?
Hizo hoja zote bi secondary kwa uchumi.
Tank people's 401k plans and see what happens.
MAGA bullshit alert!Ni kwasababu Babu Biden aliiba uchaguzi, Mashine nyingi zilitempa na kuwapa ushindi democtats, Mail in ballots yaliwekwa magunia ya kura feki, states zisizohitaji vitambulisho vya kura mpaka mbwa walipiga kura, n.k.
- 2004 – 122 million
- 2008 – 131 million
- 2012 – 129 million
- 2016 – 137 million
- 2020 – 159.6 million
- 2024 – ~135 million
Na matokeo yake Marekani walipata rais dhaifu tangu taifa lipata uhuru, Rais anachapa usingizi kwenye mikutano, Rais anasinzia wakati anatembea anaanguka, Rais hawezi kutunga sentensi anasahau alichotaka kuongea, Rais anatumia cocaine anasahau alipoiweka inakutwa na walinzi, Rais anaipa msamaha wa urais familia yake, aiseee ! mpaka chama chake kikampindua wakamweka Kamala Harris lakini na yeye alipitishwa kihuni bila kupingwa, Mambo wayapendayo Democrats kutaka kuifanya MArekani iwe socialist country