Wachina wamejipiga pini kwenye vita ya ushuru, Soko kubwa dunia nzima lipo Marekani

Sizipendi sera za China, lakini nahisi Wachina nao wanajua wanachofanya. Ni suala la kusubiri na kuona.
 
Soko ni watu.Kwani US kuna watu wangapi?
 
Marekani anataka amtengeneze mhindi kuwa mbadala wa china hapo Asia hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
Mhindi Hana kiwango kikubwa Cha uzalishaji wa bidhaa alichonacho mchina,hata robo ya uwingi wa bidhaa za china kwenda Marekani hawezi kufikia,hakuna nchi duniani zinazoweza kuwa mbadala wa China,yaani unaposikia neno China linamaanisha ni nchi iliyobobea kwenye uzalishaji wa bidhaa kuliko nchi zingine.
 
uh! Leo ndo nimepata maana ya neno china,kumbe...
 
Hao wamarekani ambao watashindwa kuvumilia kupita kwenye kipind champito sio wazalendo au niwahamiaji, mtu ameamua kutengeneza future yataifa kuifanya marekani iwe kubwa tena unadhani kwakasi hii yamchina akiachiwa aendelee hio marekani huo usuper power wake utakuwepo tena! Waache kulialia mwamba apambane nahawa macho madogo
 
Huyo kiranga ni pro Democratic kwa Trump hana zuri yeye nikumponda tu
 
Unazungumzia nadharia ama uhalisia!? Kwani Marekani ilikuwa kubwa kwa kufanya nini?

Halafu kwani Trump miaka yake minne ya kwanza ya Urais alifanya nini cha kuifanya Marekani iwe kubwa tena?
 
Soko ni watu.Kwani US kuna watu wangapi?
[/QUOTE]
Milioni 390 wenye purchasing power kubwa kuliko raia wa china bilioni 1.3
 
Soko ni watu.Kwani US kuna watu wangapi?
Milioni 390 wenye purchasing power kubwa kuliko raia wa china bilioni 1.3
[/QUOTE]
Hiyo Purchasing power inatokana na nini. Yaani chanzo cha hao wamarekani kuwa na hiyo purchasing power ni nini?
 
Iko hivi makampuni yanayozalisha bidhaa china ni mali ya Wawekezaji wa kimarekani so yameamua kuwa relocated India, Mexico na US ili kukwepa mzigo wa tariffs
 
Soko la marekani limeingia doa baada ya nchi nyingi za ulaya kupigwa pini ya ushuru, marekani hawazalishi kila kitu dunia hii na wawo pia wanategemea mataifa mengine kwa mfano kutoka china US anapa rare earth minerals kwa ajili ya utengenezaji wa products kama hizi smartphone, mchina sasa amezuia je utalitazama vipi soko la marekani unalodai?
 
Iko hivi makampuni yanayozalisha bidhaa china ni mali ya Wawekezaji wa kimarekani so yameamua kuwa relocated India, Mexico na US ili kukwepa mzigo wa tariffs
Ni rahisi kiasi gani kufanya hiyo "relocation" na itachukua muda gani kuikamilisha?

Jee wakati wa kufanya hizo harakati za kuhamisha hivyo viwanda vyao, ni Marekani ama uchina ndiyo itakayopata athari!?
 
China kwa sababu wao ndiyo wananufaika pakubwa sana.
 
Marekani anataka amtengeneze mhindi kuwa mbadala wa china hapo Asia hii ni plan imeundwa kimkakati kabisa.
Trump anataka viwanda virudi USA, sio kwenda kwa wahindi huko na kwingine, na hili kalisema wazi, sasa nyie hizo habari za Wahindi mnazitoa wapi.
Pili there is nothing personal kati ya Trump na Wachina, yeye ni kuvutia uwekezaji USA,makampuni ya USA yaliyoko, yaone gharama kuingiza vifaa kutoka China yanakovitengeneza, na badala yake yarudi kutengenezea ndani
 
Mkuu hujui kitu nyamaza
 
Marekani an population ya watu 340M, na world population ni 8+ b. Hilo soko wana dominate vipi? Tu elimishe.
 
Iko hivi makampuni yanayozalisha bidhaa china ni mali ya Wawekezaji wa kimarekani so yameamua kuwa relocated India, Mexico na US ili kukwepa mzigo wa tariffs
Hiyo relocation sio projects ya siku moja mzee,inaweza ikawachukua miaka zaidi ya kumi kuandaa hayo mazingira kuanzia miundombinu, resources na kutrain watu.
 
China kwa sababu wao ndiyo wananufaika pakubwa sana.
China anafaidikaje pakubwa. Maana biashara ya china Kwa Marekani inaleta 2% tu ya Pato lote la China, jee hizo 98% China hupata toka wapi?

Biashara na Marekani ni sawa na 15% ya biashara yote China wanafanya na nchi zote duniani. Jee China hufanya biashara na nchi zipi nyingine kwa 85% zilizobakia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…