Wadada siku hizi wanatongoza, hawana aibu tena

nilikuwa shambani kama msimamizi mimi ni young kiumri compared to wao walokuja kama vibarua, nilishangaa kwa ushujaa walionao wananitongoza macho makavu kabisa wananikazia, kwa sababu wako wawili na wanajua~mbinu za kivita zikaanza, mara nikufulie nguo mara vinini sijui. mm si handsome wala sina fedha na shambani tulikuwa wasimamizi wanne, nilishangaa!! kwa kweli hatua tunayoiendea ni nzuri, hatutohangaisha kabisa vichwa kuwaza unapataje mbususu!
 
Yaani mimi nimetongozwa mara kibao, sikumbuki idadi, napewa hadi hela, lakini nimeeakataa wote kwasababu wanaonitongoza hawanivutii, zinakuwaga ni pisi za kawaida tu afu mimi nataka pisi kali.

Ninazoziwinda mimi ndo zinanipiga chenga, yaani haya maisha ni upumbavu mtupu.
 
Lakini wanawake walio wengi, wanatongoza kwa ishara.
 
Kwahiyo ulitongozwa na wawili at the same time?
 
[emoji847][emoji23][emoji23]
 
Me ilishanitokea kuna mdada alikuwa anakuja ofcn akifka ni anafanya kaz iliyomleta then anaondoka ila me sikuwah kumuhudumia alikuwa anahudumiwa na wengne na sikuwah hata kuongea nae xa siku moja bhn nipo tu sina habar naona msg namba ngen inaingia "wewe mbn huongeagi" nkajiuliza kumbe kuna watu wananifatlia kuhus kuongea bas tukachat kama nusu saa akanielezea kuwa ni yeye bas bhn akafunguka yakaendelea ya kuendelea tulipga friendly match had now ni marafk
 
Pole pita na hizo zinazojileta maana mungu anakupa unachostahili sio unachotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…