nakubaliana na wewe....
tukichuniwa tunalalamika, tukifuatwa tunalalamika
na sisi hatueleweki
Sio sisi sema wewe 😂😂😂😂🙌🙌nakubaliana na wewe....
tukichuniwa tunalalamika, tukifuatwa tunalalamika
na sisi hatueleweki
Equation x jibu hili hapaKu shoot your shot nako ni makosa jamani
Wanaume wenyewe wachache famasihara
Kwani akikutongoza siku hiyo hiyo unatangaza ndoa?Hakuna namna tutazoea taratibu; ila sasa, tutajuaje kama ni waifu matirio?
tupo wengi mkuu😂Sio sisi sema wewe 😂😂😂😂🙌🙌
Inawezekana, pia hali za kiutafutaji (kiuchumi) zinaweza kuwa sababuWanume pengne wamekua wazembe kujiongeza.
ishoneeHuwa inabana sana kidole 😀 😀
Inawezekana, pia hali za kiutafutaji (kiuchumi) zinaweza kuwa sababu
Una mafua?Tumekua bize sana , wameoba waturahisishie KAZI.
Inawezekana ikawa jibu sahihi; uchache wa wanaume rijali unaweza kuwa sababuEquation x jibu hili hapa
Anaweza kuigiza katika hicho kipindi cha mpito ili lengo lake litimieKwani akikutongoza siku hiyo hiyo unatangaza ndoa?
We To yeye weweee..!!Kuna wanaume ni madomo zege....njia hii nakuwa nimemsaidia pia
Pili kupata unachokitaka...unapomwitaji mtu na kumweleza ukweli means huyo ndo moyo umeridhia
Tatu,nasi tuna moyo,tunapenda ivo ni haki yetu kupata tunachostahili
NB:Bidada,ukimpenda mtu usivunge eti kuogopa jamii itakuchukuliaje....ukitongoza au ukitongoza ukakubali na ukatoa papuchi...bado threads zitakuja kuuliza "hivi kwanini wasichana wa sikuhizi ni rahisi mno?" Wanaume wengi hawajui wanachokitaka sikuzote
Inawezekana ikawa sehemu ya sababu, labda kwa kuona huko ulimwenguni wanafanyajeMaendeleo ya technology