Wadau wapinga Rais Samia na Makamu wake kuingia na Viti binafsi Kanisani, yadaiwa ni kujikweza

Baba ake mtume alikuwa anaitwa Abdallah...yani mtumwa wa Allah, unamwitaje kafiri?
Wewe tahira tu! Allah mwenyewe shetani ndo alimtokea mapangonj huyo Muhammad wenu kumpa ujumbe wake! Kwa kifupi nyinyi huwa ni wafuasi wa shetani(allah) ndo maana mnabudu na majini na mmeahidiwa mkifa huko peponi kuna mabkira 70 wa macho makubwa na mito ya pombe!
Hapo ukiwa na zako kichwani unaamini kwa ahadi hizo za allah huyo ni Mungu hapo ama Shetani?
 
Umeharibu unapotuletea mambo ya Amerika.

Sahihisho: Hii ni Taasisi na usimuangalie Rais na Makamu wake kama mtu mmoja mmoja, itakusaidia kutoa ujumbe wa maana zaidi.
Pili: Pengine ungeenda mbali zaidi na kukemea kitendo cha walinzi/afisa usalama wake kuingia kanisani.

Tatu: Kiti ni tatizo kubwa sana kwako, kuliko kuwasili kwake hapo, na kama kanisa wangekuwa na msimamo kama wa kwako walikuwa na uwezo wa kutomualika au kumpa masherti kabla hajafika.
 
Wakiwa Afrika wanajiona Miungu watu, wakifika London wanapandishwa kwenye daladala tena wanawahi siti za dirishani
 
Ingekuwa ni msikitini wangeingia na mswala wao?
Hii ngoma inavuma sana
 
Mada nyepesi sana. JPM alikalia kiti cha kwake alicholetewa na wasaidizi wake siku ile alipokwenda chuo kikuu na kuongea na wasomi hakuna aliyekuja na uzi kabisa.
Kwa nini unakinganisha kanisa na chuo kikuu? Siku zote Magufuli akienda kanisani alikuwa wanakalia bench la kanisani! Hata watangulizi wake vivyo hivyo. Hata mzee wa mjini hakuwahi kubeba kiti chake kwenda kanisani, seuse huyu wa kutoka Munanira!
 
Hivi hawa kina Erythrocyte ndio think tanks wiobakia huko Chadema?
Wewe acha kujadili watu jadili mada. Ni heri ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuingia Ufalme wa Mbinguni. Kila aliyezaliwa na mwanamke humea hunyauka na kisha kurudi mavumbini. Usiangalie makaburi yaliyopambwa bali fikiria kilichomo ndani yake.

Hiki alichokifanya Mheshiniwa ni kiburi cha Madaraka tu. Na yeyote ajikwezae hushushwa. Tuliwahi kusema hivyo kwa Jiwe mkasema ni dua la kuku halimpati wewe.
 
Kwenye hili wala siungi mkono.

Kanisani hakuna formular ya nani aje na kiti au mkeka.

Kikubwa walienda hiyo inatosha. Mama kaingia na hijab yake ni jambo jema sana.

Mimi ninawalaumu hawa vipngozi kuendeleza kufumbia macho changamoto na mkwamo wa maisha ya wananchi. Leo hii kilo moja ya karanga inafikia Tshs 4,500. Mchele 4,000 kila kitu bei juu. Wao wapo bize na mikutano ya hadhara bafala ya kukaa chini kutafakari namna ya kuondokana na hii hali
 
Ukweli ni kwamba viongozi wamekosea.Waombe msamaha.
 
Erythrocyte ni kama amesahau roles ya PSU. Viongozi wameingia na kuelekezwa sehemu ya kukaa, alitaka wakatae na wakati tayari wako ndani ya kanisa!

Nadhani maelezo/ malalamiko yangejikita kwenye ushauri kuwa wakati mwingine jambo hilo lisijirudie kwakuwa halileti picha nzuri kwenye jamii .
 
Kwani ukioneshwa sehemu ukitaka kujishusha ukaenda kukaa jiran na muumin nwingine kweny bench unazuiwa?

Nahis hiyo ndo akili, yaani mfano umefika sehemu wameandaa chakul na sahan yako iko pale wamekujazia pilau na nyama akati wengin wanakul makande, nafikir busar ni kuchukua sahan ya kande ambayo hawaikutegemea kama utaichagua hiyo tena you it rondomly. Utakua safe zaidi kuliko waliyo kuandakia tayr.
 
1. The Africans, by David Lamb. kitabu hiki kimewaelezea vema waafrika walivyo ikiwa ni pamoja na viongozi wao!
2. Sasa hawa unadhani wanaweza kutenda haki? Kwanza kitendo cha kuwekewa viti na wakakubali tayari wameshavunja haki mza wengine, kutowaheshimu etc etc!
3. Na kwanini kanisa lilikubali upuuzi huo ufanyike kanisani?
 
M
Mume wa Maza Mbona hayuko na mke wake hapo kanisani?
 
Wakati Mwalimu alikaa hadi foleni na Marais wengine wanakalia viti vya kanisani kwa adabu, kuna Paka special linasafirisha na kukalia kiti maalum👇🐒🐒🐒

 

Attachments

  • ApfOS.png
    161.5 KB · Views: 2
Walaumiwe Watu wa advance Team Ila hata kama kwani mpango hajui utaratibu wa Kanisa katoriki?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…