Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Shida ya PSU ya Sasa ni ya kujipendekeza sana, wamejaa Wapemba watupu Advance Team.Erythrocyte ni kama amesahau roles ya PSU. Viongozi wameingia na kuelekezwa sehemu ya kukaa, alitaka wakatae na wakati tayari wako ndani ya kanisa!
Nadhani maelezo/ malalamiko yangejikita kwenye ushauri kuwa wakati mwingine jambo hilo lisijirudie kwakuwa halileti picha nzuri kwenye jamii .
Mleta Mada Anapinga watawala Wa Sasa kuvunja tatatibu za Kanisa Wakati utaratibu wanaujua. Mbwembwe Zao wazifanyie Huko Nje ya madhabau. Halafu namshangaa Kilaini kukubali Huo Ujinga uliofanywa Hapo KanisaniInaonesha una chuki binafsi tu na huu uongozi, maana haina maana kulalamikia viti badala ya kuandika nyuzi zinazolenga maendeleo.
Mkuu, PSU ni PSU tu hata ingekuwa hakuna wapemba! kwani hao PSU wako chini ya Serikali gani na Kiongozi wao ni nani?Shida ya PSU ya Sasa ni ya kujipendekeza sana, wamejaa Wapemba watupu Advance Team.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mada nyepesi sana. JPM alikalia kiti cha kwake alicholetewa na wasaidizi wake siku ile alipokwenda chuo kikuu na kuongea na wasomi hakuna aliyekuja na uzi kabisa.
Wewe hupaswi kuwalaumu hao viongozi moja kwa moja.
Erythrocyte!
Umeandika as if walikuja wamebeba viti vyao,wakati ukweli ni kwamba kama ni kasoro imetokea.na kama ni kulaumiwa ni hao waliokuwa na jukumu la maandalizi na sidhani kama ni maagizo ya Mheshimiwa Rais wala Makamu wake.
Wao wameingia na kuelekezwa mahali walipoandaliwa kukaa.
Baadhi ya vitu sio lazima uvipinge kwa sababu havina tija kwa maendeleo chanya wala havitowi fundisho lolote kwa jamii.
Pia kuwa pingapinga sio alama ya elimu bali ni dalili za ubishi usio na tija pia.
Rais akipanda basi mnasema kadharauliwa,je kipi afanye ili awafurahishe?
Mtaendeleza bifu la kukaa benchi mpaka 2025?
Si mtafika mmechoka Sana?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
Kwani utaratibu wa kanisa unataka kila mtu akalie benchi?Mleta Mada Anapinga watawala Wa Sasa kuvunja tatatibu za Kanisa Wakati utaratibu wanaujua. Mbwembwe Zao wazifanyie Huko Nje ya madhabau. Halafu namshangaa Kilaini kukubali Huo Ujinga uliofanywa Hapo Kanisani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Moto unihusu kisa sija mtukuza huyo muddy wa waarabu au!! Acha ufala bana.Madhara ni moto unakuhusu
Kwani kupeleka kiti kanisani ni kudharau madhabahu?Lakini JPM hakuwahi kukalia kiti tofauti na mabench ya kanisani!
Hajawahi kupelekewa kiti na wasaidizi wake kanisani, aliheshimu sana madhabahu ukiacha mapungufu yake mengine!
Angefanya kama hawa ungeona, jinsi magazeti yangepambwa!
Wamuulize Magufuli leo amekalia kiti ganiKwenye Ibada Maalum ya kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Mwalimu Nyerere , iliyofanyika huko Mkoani Kagera , Viongozi kadhaa wa Kitaifa wamehudhuria, akiwemo Mh Rais Samia Suluhu na Makamu wake , Dr Philipo Mpango , Tunawapongeza kwa jambo hilo .
Sitaki kurudia yaliyotokea ili nisiwachoshe , lakini Kitendo cha Rais na Makamu wake kuingia na Viti vyao vya enzi ndani ya kanisa kimepingwa na wadau wengi , huku wakitahadharisha viongozi kuacha kujiona ni wa kipekee , Ukweli ni kwamba HAWANA UPEKEE WOWOTE , ukiachilia mbali vyeo walivyo navyo hawana tofauti yoyote nyingine na sisi wengine .
Kitendo cha kuingia na Masofa yao Kanisani ni DHARAU KWA WAUMINI na Kanisa kwa ujumla , na kinapaswa kukemewa ili kisirudiwe tena , kama hawataki kukaa kwenye mabenchi ya kanisa , basi wasiingie kwenye Makanisa , waishie nje na hotuba zao .
Ziko Picha kadhaa zikiwaonyesha Joe Biden wa Marekani na Haikainde Hichilema wa Zambia wakiwa wameheshimu madhabau na kukalia Mabenchi ya kanisa , mbona walishiriki ibada na wakamaliza kwa amani tu , Hawa viongozi wetu wana upekee gani hawa ?
View attachment 2387287
Angalizo : Sina chuki yoyote na viongozi hawa .
Sidhani kama ni Big deal, mimi namkaribisha aje hata na Meza yake hapa Msikitini Temeke Sudani.Wasiingie tena kwenye makanisa yetu.
Hivi huko msikitini pia anaingia na kiti chake??
Wanaangalia na mtu.Wewe hupaswi kuwalaumu hao viongozi moja kwa moja.
Erythrocyte!
Umeandika as if walikuja wamebeba viti vyao,wakati ukweli ni kwamba kama ni kasoro imetokea.na kama ni kulaumiwa ni hao waliokuwa na jukumu la maandalizi na sidhani kama ni maagizo ya Mheshimiwa Rais wala Makamu wake.
Wao wameingia na kuelekezwa mahali walipoandaliwa kukaa.
Baadhi ya vitu sio lazima uvipinge kwa sababu havina tija kwa maendeleo chanya wala havitowi fundisho lolote kwa jamii.
Pia kuwa pingapinga sio alama ya elimu bali ni dalili za ubishi usio na tija pia.
Rais akipanda basi mnasema kadharauliwa,je kipi afanye ili awafurahishe?
Mtaendeleza bifu la kukaa benchi mpaka 2025?
Si mtafika mmechoka Sana?
Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe.
Sio kila kitu lazima muambiwe... kuna watu wanaumwa, hawawezi kukalia kiti chochote tu.basi hao watu hawana kazi wapuuzi flani tu.,