Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Habar za humu mjengon naomba msaada wa chimbo zuri nguo za watoto wakike na kiume walau kuanzia miaka 14 kushuka chini
 
Wadau naombeni msaada wa chimbo la simu used Kutoka USA, JAPAN, KOREA n.k simu kama torque, Google pixel, samsung n.k
 
Naomba kufahamu machimbo wanapouza yale majora ya kushonea mashuka ya yale wanaita mashuka ya uganda ya 9x9 na Yale ya pakistani pia… na pia Majora(vitambaa) vya kushonea pazia zile quality ya kati na ta juu!
natanguliza shukrani

Cabs
 
Assalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.
2. Chimbo la vifungashio mbalimbali kwa bei ya jumla. Niko Dodoma.
Barakallahu Fih
Mkuu ulifanikiwa kupata chimbo la vifaa vya stationery?? LOGORIDDIM
 
Habari wakuu, wapi naweza pata mifuko laini kwa bei ya jumla. Nimeattach picha yake hapo chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…