Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

Habar za humu mjengon naomba msaada wa chimbo zuri nguo za watoto wakike na kiume walau kuanzia miaka 14 kushuka chini
 
Wadau naombeni msaada wa chimbo la simu used Kutoka USA, JAPAN, KOREA n.k simu kama torque, Google pixel, samsung n.k
 
Naomba kufahamu machimbo wanapouza yale majora ya kushonea mashuka ya yale wanaita mashuka ya uganda ya 9x9 na Yale ya pakistani pia… na pia Majora(vitambaa) vya kushonea pazia zile quality ya kati na ta juu!
natanguliza shukrani

Cabs
 
Habari wakuu, wapi naweza pata mifuko laini kwa bei ya jumla. Nimeattach picha yake hapo chini.
JPEG_20230415_094225_612392009803928031.jpg
 
Back
Top Bottom