emmarki
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,001
- 1,430
mchikichi...cello na jambo plastic wapo hapoNaombeni connection ya vyombo ya plastic,nataka kufanya biashara hii huu mwaka.🙏🏿View attachment 2483942
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchikichi...cello na jambo plastic wapo hapoNaombeni connection ya vyombo ya plastic,nataka kufanya biashara hii huu mwaka.🙏🏿View attachment 2483942
msimbazi boss,Msaada mkuu machimbo ya vipodozi kwa jumla natarajia kuanza biashara iyo ivi karibuni natanguliza shukrani [mention]Mlolongo [/mention]
njoo nikupeleke kwa mchinaWadau.. wapi napata yebo yebo za bei ya Jumla kwa ajili ya watoto!??
huyu ni winga, anaingia maduka ya viatu anapiga picha. maduka yako mengi ni wewe tuWakuu naomben kujuzw hili chimbo la raba na viatu lilipo, kule instagram wauzaj wanaopost hizi rubber na the same pictures ni wengi lakn kl naemuliza physical store iko wapi naambiw ni online na tunafanya delivery, kwa anaejua location ya hili duka naomba msaada tafadhal...shukraniView attachment 2405354View attachment 2405356View attachment 2405357
Nipo mbali kiongozi ingelikuwa nipo dar ningelikuja ukanipeleka ila sipo hapo.njoo nikupeleke mkuu
Nenda gerezaniNatafuta chimbo la vifaa vya ujenzi jumla kabisaa msaada jamn
0752042670Nipo mbali kiongozi ingelikuwa nipo dar ningelikuja ukanipeleka ila sipo hapo.
Kama unayomawasiliano naomba tafadhali.
Naomba kufahamu machimbo wanapouza yale majora ya kushonea mashuka ya yale wanaita mashuka ya uganda ya 9x9 na Yale ya pakistani pia… na pia Majora(vitambaa) vya kushonea pazia zile quality ya kati na ta juu!
natanguliza shukrani
Mkuu ulifanikiwa kupata chimbo la vifaa vya stationery?? LOGORIDDIMAssalamoualaikom. Msaada kujuzwa chimbo la kupata bidhaa za stationery kwa bei ya jumla.
2. Chimbo la vifungashio mbalimbali kwa bei ya jumla. Niko Dodoma.
Barakallahu Fih
Mkuu ulifanikiwa kupata chimbo la vifaa vya stationery?? Seneta Wa MtwizVifaa vya stationery:
Paper reams, Counter books, Daftari, Peni, Stappler machine, Soll tapes, Cards, Frame, Files na vingine vingine vya stationery.
Niomba kujua chimbo lake ambako vipo kwa bei ya punguzo.
Cabs
Cabs ni kariakoo au wapi mkuu
Siyo kariakoo ni mitaa ya DIT pale
Ukiulizia kwenye mashuka unaonyeshwa