Honestgirl
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 210
- 126
Naomben mnijulishe plz mwenzenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaJovi relax,subiri wataalam waje
BeeJovie wewe
Mmmmmh kunionga huko veepe mm naulizia mambo ya biasharaNjoo karume nikuhonge mie..
Hilo ndo duka?
Unachotaka unapewa bure kabisa wala usijaliMmmmmh kunionga huko veepe mm naulizia mambo ya biashara
Na lipo mtaa Gan?Hilo ndo duka?
Hapana nataka vyakwangu c vya mtu mwingneUnachotaka unapewa bure kabisa wala usijali
Hutaki mambo matamu...shaur yakoHapana nataka vyakwangu c vya mtu mwingne
Hayo matamu nayo yana uchungu wakeHutaki mambo matamu...shaur yako
Machungu hayo yanatoka wapi wewe... tuHayo matamu nayo yana uchungu wake
Nenda AGGREY STREET utapata kila unachohitajiNaomba kuuliza maduka ya bei rahisi ya phone accessories kariakoo plz[emoji18]
lipo mtaa wa AggreyNa lipo mtaa Gan?
Ngja nku pm namba ya Mdau mmoja ana duka hapo kko mtaa wa likoma ana duka la spear za simu tu...anatoa njeNaomba kuuliza maduka ya bei rahisi ya phone accessories kariakoo plz[emoji18]