Nyie watu ni wajinga sana,hamueleweki mnataka nini mamlaka yoyote ifanye, taperi kafanywa vile ili funzo kwa Wengine, leo tayari taperi anaonekana ana haki kuliko wale askari, hapo mnatamani hata ikiwezekana aachiwe huru kabisa bila kupelekwa courtKatika ile video inaonekana askari wasiopungua watano (ikiwemo sauti za wengine kadhaa zikihimiza ile adhabu ikaziwe), kwanini watatu tu ndio waliosimamishwa?
Pia tunataka majina na picha zao ziwekwe hadharani.
Kuna namna hapa watu fulani wanataka kulindwa.
Hi nchi wapumbavu wengi ,Kwanza wale askari ili waliyokuwa wanampa sio adhabu kabisa,Lakn matapeli wanaumiza sana watu. Watu wamekufa kwa pressure watu wamejiua, wastaafu wanatapeliwa pension zao.
Mbaya zaidi hizi kesi za kutapeli zinapoteza muda tu mara nyingi wanaachiwa..
Huyo tapeli kishoka kapewa funzoNyie watu ni wajinga sana,hamueleweki mnataka nini mamlaka yoyote ifanye, taperi kafanywa vile ili funzo kwa Wengine, leo tayari taperi anaonekana ana haki kuliko wale askari, hapo mnatamani hata ikiwezekana aachiwe huru kabisa bila kupelekwa court
Ila hao jamaa wanazingua,binafsi niliona kama ni kweli jamaa ni tapeli alistahili ile adhabu ila kama walimsingizia hapo sawa,wezi wanaumiza na kurudisha nyuma wengi sanaTapeli kaogeshwa maji na kugaragara chini ndo salama yake ingekuwa kakamatwa mtaani wangempiga vibaya hata kumuuwa.
Na huyo tapeli aache utapeli.
Mzee wa kino unamjua nini yule mwamba?Huyo tapeli kishoka kapewa funzo
Tosha
Ova
Utawala wa sheria na katiba uko wapi ? Ikiwa kila mtu atumie mamlaka aliyo nayo kuadhibu? Tapeli alitakiwa apelekwe mbele ya sheria siyo kuadhibiwa kana kwamba alishahukumiwa na mahakama.Hii kijeshi wanasema imeisha hiyooo, wanasubiria mwingine aingie kwenye kumi na nane zao wamnyongoroshe..........ile video ilirushwa strategically maana juzi tu mitandao ililalamika uhalifu umezidi.
Hasa vuta picha hiyo ni uhamiaji,ukiingia kwenye kumi na nane za polisi je? Na ukijifanya una haki huko mitaa ya jw je?
Mkipiga kelele wanadamka hasa msiwaambie Tena uhalifu umezidi maana watawaonyesha uhalifu unavyodhitiwa
Alex tulishtuka kumwona anaendesha shangingi tukajiuliza huyu kaajiriwa serikalini kwa elimu gani? Kumbe tapeli wa mjini.
Mzazi mkanye mwanao dola inatabia yakuwafurahisha adhara huku unaumia
Mbona aliyekuwa CAG prof Assad alipoibua ufisadi wa 1.5T haukupost wala haukushabikia??POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI.
Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum)
Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/=
-Mwezi April ilikuwa balaa.
Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/=
Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/=
-Tarehe 30 April nayo ilikuwa balaa
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,900,000/= (kuandaa mpango wa kuhifadhi mazingira)
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 14,400,000/=
(siku ya wanawake)
Tarehe 30/04/2021 Shilingi 43,000,000/=
Mei mosi siku ambayo sio ya kazi.
Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi asubuhi Shilingi 184,100,000/=
Tarehe 01/05/2021 Mei Mosi Mchana Shilingi 264,000,000/=
Tarehe 03/05/2021 Shilingi 146,500,000/=
(Kuandika mpango Kazi wa manunuzi watu 125 [emoji3])
Siku hiyo hiyo tena Shilingi 171,200,000/=(kuandaa nyaraka za bunge)
#WeMissYouJPM.
#Tunakukumbuka JPM.
Wamesimamishwa au wameachishwa?WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina Jenerali wa Uhamiaji, Dk Anna Makakala, amesema mnamo Mei 27 mwaka 2021, Idara ya Uhamiaji ilimkamata mtuhumiwa wa utapeli anayefahamika kwa jina Alex Raphael Kyai katika Ofisi ya Uhamiaji Kurasini mkoani Dar es salaam ambaye aliongozana na mteja wa huduma za pasipoti, aliyemtambulisha kama mkewe.
Aidha Dk. Makakala amesema baada ya mahojiano, ilibainika kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa na tabia ya kuwalaghai na kupokea fedha kutoka kwa wateja mbalimbali ili waweze kupata pasipoti kwa haraka, pia mtuhumiwa huyo amekuwa akijitambulisha kama Mtumishi wa Taasisi nyeti ikiwemo Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
"Idara ya Uhamiaji inakiri kutokea kwa tukio hilo na pia inalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Uhamiaji kwa kutumia nguvu kinyume cha sheria na maadili ya kazi zao, hata hivyo Idara ya Uhamiaji tayari imechukua hatua za kinidhamu dhidi ya askari hao" amesema Dk. Makakala.
Sambamba na hayo, Idara ya uhamiaji inatoa wito kwa Wananchi wote wanaohitaji huduma za kiuhamiaji kufika wenyewe katika ofisi za Uhamiaji, pia Uhamiaji wanawahakikishia kwamba idara itaendelea kutoa huduma zake kwa weledi, uwazi na bila kutumia mtu wa kati ( Vishoka).
Aidha Idara ya uhamiaji imetoa onyo kwa yeyote ambaye atajaribu kujifanya kuwa Afisa wa Uhamiaji au Afisa wa Serikali ili kumsaidia mtu mwingine kwa maslahi yake binafsi hatua kali dhidi yake zitachukuliwa kwa mujibu wa Sheria, Pia idara hiyo imewataka Watanzania wote kutoa ushirikiano katika kutoa taarifa za watu wanaofanya vitendo vya aina hiyo.
Pia soma; Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?
Nawapongeza viongozi hawa kwa hatua walizochukua, kwa kweli jeshi la polisi limekuwa mstari wa mbele kutuhimiza raia kufuata sheria bila shurti,sasa inakuwaje wao wanavunja sheria?WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina Jenerali wa Uhamiaji, Dk Anna Makakala, amesema mnamo Mei 27 mwaka 2021, Idara ya Uhamiaji ilimkamata mtuhumiwa wa utapeli anayefahamika kwa jina Alex Raphael Kyai katika Ofisi ya Uhamiaji Kurasini mkoani Dar es salaam ambaye aliongozana na mteja wa huduma za pasipoti, aliyemtambulisha kama mkewe.
Aidha Dk. Makakala amesema baada ya mahojiano, ilibainika kuwa mtuhumiwa huyo amekuwa na tabia ya kuwalaghai na kupokea fedha kutoka kwa wateja mbalimbali ili waweze kupata pasipoti kwa haraka, pia mtuhumiwa huyo amekuwa akijitambulisha kama Mtumishi wa Taasisi nyeti ikiwemo Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
"Idara ya Uhamiaji inakiri kutokea kwa tukio hilo na pia inalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Uhamiaji kwa kutumia nguvu kinyume cha sheria na maadili ya kazi zao, hata hivyo Idara ya Uhamiaji tayari imechukua hatua za kinidhamu dhidi ya askari hao" amesema Dk. Makakala.
Sambamba na hayo, Idara ya uhamiaji inatoa wito kwa Wananchi wote wanaohitaji huduma za kiuhamiaji kufika wenyewe katika ofisi za Uhamiaji, pia Uhamiaji wanawahakikishia kwamba idara itaendelea kutoa huduma zake kwa weledi, uwazi na bila kutumia mtu wa kati ( Vishoka).
Aidha Idara ya uhamiaji imetoa onyo kwa yeyote ambaye atajaribu kujifanya kuwa Afisa wa Uhamiaji au Afisa wa Serikali ili kumsaidia mtu mwingine kwa maslahi yake binafsi hatua kali dhidi yake zitachukuliwa kwa mujibu wa Sheria, Pia idara hiyo imewataka Watanzania wote kutoa ushirikiano katika kutoa taarifa za watu wanaofanya vitendo vya aina hiyo.
Pia soma; Maafisa uhamiaji Walivyomtesa mtuhumiwa, Je, Sheria inawaruhusu?
Mkuu usikurupuke kusifia. "Barua Rasmi" haijataja majina ya watumishi waliochukuliwa hatua unafurahia? Mimi mpaka nione majina ndio nitatoa maoni yangu.Ni sahihi na ndio stahiki zao kabisa