Wafanyakazi 3 wa Uhamiaji wasimamishwa kazi kwa kosa la kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael

doso lile lingewapandisha vyeo huku kwetu
 
Hii taarifa mbona haina tarehe??, this is very unprofessional katika utoaji wa taarifa kwa umma!!!

Kwa maana nyingine ni kwamba, hii taarifa imeandikwa lini na imetolewa lini??
 
Sasa mbona wale wanajeshi wanaopigaga watu sijawahi kuskia wakisimamishwa,

Wanajeshi ndo huwa wanazingua zaidi.
Mara nyingi Wanajeshi hutoa adhabu kali kwa mwarifu pasipo kumpiga
 
Askari wachukuliwe hatua kali na yule tapeli naye achunguzwe vizuri na mtandao wake.
Jamaa lina kitambi halafu linaendesha Prado kali kutokana na utapeli.
So wew umeumizwa na prado? Will buy one for you
 
Lakn matapeli wanaumiza sana watu. Watu wamekufa kwa pressure watu wamejiua, wastaafu wanatapeliwa pension zao.

Mbaya zaidi hizi kesi za kutapeli zinapoteza muda tu mara nyingi wanaachiwa..
kwa maoni yako ulitaka wafanywe nini ili wakome
 
Sukuma gang mtakufa kwa presha, hizo mbona kidgo sana ukilinganisha na ile 1.5 tr
 
Lakn matapeli wanaumiza sana watu. Watu wamekufa kwa pressure watu wamejiua, wastaafu wanatapeliwa pension zao.

Mbaya zaidi hizi kesi za kutapeli zinapoteza muda tu mara nyingi wanaachiwa..

Hilo tatizo ni la serekali mkuu, hawachukui hatua stahiki juu yao, wengi wao huwa wanapiga dili na maaskari kabisa
 
Hii ni hatua nzuri sana sana. Hongera kwa kamishna wa uhamiaji. Haya hayajazoeleka Tanzania. Big up.
 
Idara ya uhamiaji imewasimamisha kazi Askari wake watatu kwa tuhuma za kutumia nguvu kinyume cha sheria na maadili ya kazi zao dhidi ya Mtuhumiwa wa utapeli Alex Raphael Kyai kama ilivyoonekana katika video fupi iliyosambaa.

Mtuhumiwa huyo anadaiwa kulaghai na kupokea fedha kutoka kwa Wateja mbalimbali ili waweze kupata pasipoti kwa haraka pia amekuwa akijitambulisha kama Mtumishi wa Taasisi nyeti ikiwemo TAKUKURU.

"Hatua ambazo Idara imechukua dhidi ya Askari, tumewasimamisha kazi kupisha uchunguzi wa tukio lenyewe lakini pia Mtuhumiwa tumemfikisha kwenye mamlaka husika ili aweze kuendelea na utaratibu mwingine kisheria" β€”β€”β€” Dr. Anna Peter Makakala, Kamishina Jenerali wa Uhamiaji
 
Lakn matapeli wanaumiza sana watu. Watu wamekufa kwa pressure watu wamejiua, wastaafu wanatapeliwa pension zao.

Mbaya zaidi hizi kesi za kutapeli zinapoteza muda tu mara nyingi wanaachiwa..
Haijalishi. Hakuna mtu aliyesema matapeli ni watu wazuri. Watu wengi wameshakuwa ma-victim wa utapeli. Kinachotakiwa ni kutumia sheria. Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kila mtu anaweza kufanya lolote kwa mtuhumiwa. Hapo tuna-create loophole za watu kuuliwa bila makosa. Kila siku hapa tunapiga kelele polisi kutesa watuhumiwa na wengine kufia vituoni.
 
πŸ–•We msukule wa dikteta una tapatapa
Huyo tapeli kishoka kapewa funzo
Tosha

Ova
Tena hawajamnyoosha vya kutosha kabisa uyo Taperi
 
Mbona hajasema hivyo hebu sikiliza hii hapa video clip ya maongezi yake.
Your browser is not able to display this video.
 
hayo yangefanywa na askari wa jeshi la wananchi,sijui kama wangesimamishwa kazi kizembe ivo
 
Japo wale UT walikosea..lakini hao matapeli tena wenye vitambi Ni hatari Sana..washenzi Sana
 
Halafu wakajirekodi wakiamini itawapa sifa au umaarufu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…