Kigogo amenukuu vifo kadhaa kutoka Soguti Ofisi ya ukaguzi na kumhusisha Waziri Alemsha Mwezi wa kwanza ambaye anautaka Usultani na hataki kuchafuka,je ni kweli Waziri Alemsha Mwezi wa kwanza amechafuliwa au kapiga kweli?
 
Habari zenu waungwana mtu umesema unataka kuja Ila mishe yako unataka watu wa dagaa mi nikakuunganisha na watu wenye maboti ya dagaa na wale ikawa wanakuheshimu kwa sababu mimi waniheshimu Sasa ww unaleta uchoko Mambo ya dar unaleta huku mafia kumbe mtu mwenyewe shoga Sasa mpaka jamaa wa mabot wanajua labda mimi nakujua au nakufahamu sana kumbe Mimi nilikuona mshikaji mpambanaji mi nikajua mpambanaji mwenzangu kumbe **** Mayo mbwa ww
[
 
Kila mwaka watu ktk ofc hyo ufariki au wengine kuwa vichaa Nina ushihid

Jamaa angu mmoja moremi nae alifariki alikuwa best student wetu kwa mwaka wetu

Kisha kaja mzee mooja alikuwa mkaguzi rukwaa kapigwa uchizi mwalimu maro
 
Ni nani huyo man?
 
Aisee hahaha nimecheka Kama mazuri lakini ukweli Ni kwamba watu wanatandikana Sanaa.
 
Duuh toba toka Jumatano ya majivu hadi sasa??
 
Kumbe mpk Leo hawajamleta bado?!!duhh mda sana
Kafa ghafla tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…