Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

Bashite yuko wapi?
 
Muweke jina la magufuli na mbowe asimame lisu au mbowe tufanye uchaguzi mda wowote iwone marehe anavyowagalagaza
 
Magufuli aliondoka na ccm yake feki. Orijino imebaki inadunda.
Orijino ya mafisadi?

Libibi linafiki wewe, nakumbuka ulivyokuwa mstari wa mbele kumtukuza magufuli hata akivurunda!

Ukatusisitiza kwamba ati cherehani ni kiwanda!

Bibi la hovyo sana wewe! Na hapo IKULU ujiandae kutoka! Alaah!
 
Legacy inafunikwa vibaya Sasa wanahaha kukwamisha miradi na program za Rais Samia..

Saizi wanahangaika BBT ya Bashe 😆😆
 
Hawa hapa wamezimia ila wameng'ang'ania sangara wao mkononi

 
ambao wanashindwa hasa kumsahau Rais Dr JPM sio watanzania na wanamapinduzi maelfu kwa mamilioni waliompenda, ni waliomuua. Nadhani mzimu wake huwatokea ndotoni. Maana hakuna kinachofanyika kikaenda mbele, sio serikalini wala upinzani bila kumtaja JPM. Halafu mnasingizia wafuasi wake hawataki kuamini kafariki, nyie wenyewe mbona hamuamini mkaachana nae?
 
Kati ya marais wote waliowahi kutawala tanzania na wote walioko madarakani bado magufuri ni maarufu kuliko wote pita mitaani ndo utajua hilo
 
Wewe unayeamini kama Mwamba Magufuli aliishafariki kiherehere cha kuandika kuhusu Mwamba Jiwe Magufuli unakitoa wapi kama wewe na waliokutuma hamumwogopi? Hebu tufanye hivi, tangazeni maandamo ya Kuadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mwamba Magufuli na ya Kuadhimisha Miaka Miwili ya Kuupiga Mwingi kwa pamoja halafu uone wapi watu watajaa!
 
Mbona kama wewe ndio bado hujaamini?

Huyu mtu alitungisha mimba nyingi sana hapa nchini!

Inafika hatua maiti ina nguvu kuliko walio hai! Haijawahi kutokea.
Kubali tu alishakufa huyo mungu wako Hana lolote Tena duniani
 
Miaka 2 sasa wanaoumizwa na kifo cha jpm ni wapinzani wake kuliko waliokuwa wakimsapoti.

Huwezi furahia kifo cha mwenye haki ukabaki na amani,labda Mungu awe shemeji yako.
Haki ya kupora wakulima korosho na fedha zao, haki ya kupora wafanyabiashara wa bureau fedha zao

Haki ya kuua kuteka kupoteza asiowapenda, haki ya kubambikia watu kesi na kutumia ofisi ya DPP kuhalalisha ujambazi wa kidola kupora watu na kwenda kuficha fedha china

Haki ya kufanya ujambazi 2019/2020 kupora uchaguzi na kubambikia wapinzani kesi zisizo na kichwa Wala miguu

ASHUKURIWE MWENYEEZI MUNGU ALIYEINGILIA KATI NA KUWAKOMBOA WALIOONEWA, JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE AMIN
 
Tangia lini mwizi akafanya mambo Kwa uwazi,yule Lucifer miradi mingi aliifanya gizani mpigaji mkubwa yule
 
Kama MWENYEZIMUNGU alimundoa yule Lucifer hawezi shindwa kwa nyie shetani ndogondogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…