Wafuasi wa Hayati Magufuli bado hawajaamini kikamilifu kuwa alishafariki na siasa zake nyingi zinazikwa na Rais Samia

Sabaya ni fisadi au mlitaka TU kumkomoa Ili mpate milage ya kisiasa mbaya zaidi wale mliotaka kuwa impress wakawatukana mkawabumbia kesi ya ugaid; ila Faiza mbona tukisrma hii ID ya mama husemi kitu?

Kama no wewe mama unachemsha sana sijui ni uoga au ni nini
Bashite yuko wapi?
 
Kidume pia kikashindwa kuwakakamata "wasiojulikana", watu wakapotea na wakosoaji kukimbia nchi. Mwamba akasigina katiba,

Uchaguzi ukawa wa hovyo, bunge la Ndugai likawa sehemu ya serikali, aidha kuwa chama pinzani likawa kosa kwa raia.

Kwa kifupi, kama sio woga, unafiki, ujinga wa Watanzania alikuwa atuingize kwenye machafuko! Binafsi namsamehe yoteee ila la Watanzania kutekwa, kupotea, watu kukimbia nchi yao hapana!
Muweke jina la magufuli na mbowe asimame lisu au mbowe tufanye uchaguzi mda wowote iwone marehe anavyowagalagaza
 
Magufuli aliondoka na ccm yake feki. Orijino imebaki inadunda.
Orijino ya mafisadi?

Libibi linafiki wewe, nakumbuka ulivyokuwa mstari wa mbele kumtukuza magufuli hata akivurunda!

Ukatusisitiza kwamba ati cherehani ni kiwanda!

Bibi la hovyo sana wewe! Na hapo IKULU ujiandae kutoka! Alaah!
 
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.

Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!

Wapo wanasiasa wajanja waliokuwa wafuasi kindaki ndaki wa Magufuli waliweza kutambua kiuhalisia Magufuli hayupo tena na siasa zake hazina nafasi na kwa haraka sana wakaanza kuimba nyimbo mpya za kumsifia Samia huku wakimdhihaki kimtindo Magufuli na siasa zake.

Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.

Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
Legacy inafunikwa vibaya Sasa wanahaha kukwamisha miradi na program za Rais Samia..

Saizi wanahangaika BBT ya Bashe 😆😆
 
Hawa hapa wamezimia ila wameng'ang'ania sangara wao mkononi

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
ambao wanashindwa hasa kumsahau Rais Dr JPM sio watanzania na wanamapinduzi maelfu kwa mamilioni waliompenda, ni waliomuua. Nadhani mzimu wake huwatokea ndotoni. Maana hakuna kinachofanyika kikaenda mbele, sio serikalini wala upinzani bila kumtaja JPM. Halafu mnasingizia wafuasi wake hawataki kuamini kafariki, nyie wenyewe mbona hamuamini mkaachana nae?
 
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.

Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!

Wapo wanasiasa wajanja waliokuwa wafuasi kindaki ndaki wa Magufuli waliweza kutambua kiuhalisia Magufuli hayupo tena na siasa zake hazina nafasi na kwa haraka sana wakaanza kuimba nyimbo mpya za kumsifia Samia huku wakimdhihaki kimtindo Magufuli na siasa zake.

Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.

Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
Kati ya marais wote waliowahi kutawala tanzania na wote walioko madarakani bado magufuri ni maarufu kuliko wote pita mitaani ndo utajua hilo
 
Ni miaka miwili sasa tangu Magufuli afariki dunia, huku baadhi ya wafuasi halisi wa Magufuli wakigoma kuamini katika mioyo yao au kutambua katika akili zao kuwa, kwa hakika Magufuli alishakufa na milele hataweza kurejea tena huku siasa zake mbovu taratibu zikizikwa na rais Samia Suluhu.

Hao watu wanaamini kuwa japokuwa Magufuli kimwili alishakufa lakini kiroho bado anaishi katikati yetu, hivyo anaweza kuendelea kuathiri maisha yetu au ipo siku utawala na siasa zake zitafufuliwa upya na kuendelea kuongoza Tanzania!

Wapo wanasiasa wajanja waliokuwa wafuasi kindaki ndaki wa Magufuli waliweza kutambua kiuhalisia Magufuli hayupo tena na siasa zake hazina nafasi na kwa haraka sana wakaanza kuimba nyimbo mpya za kumsifia Samia huku wakimdhihaki kimtindo Magufuli na siasa zake.

Wafuasi hao wa Magufuli hawafurahishwi na hatua yoyote ya maendeleo (kisiasa, kiuchumi, kijamii) inayopigwa na mama Samia ambayo Magufuli hakuifikia au hatua yoyote ya kufutwa kwa baadhi yq siasa za Magufuli zisizokuwa na maana kwa watanzania.

Wao wanataka kuona Magufuli akisifiwa katikati ya utawala wa Samia (wakati Magufuli alikuwa kinara wa kubeza serikali zote za Tanzania zilizomtangulia) au kuona utawala wa Samia ukianguka kwa namna yoyote.
Wewe unayeamini kama Mwamba Magufuli aliishafariki kiherehere cha kuandika kuhusu Mwamba Jiwe Magufuli unakitoa wapi kama wewe na waliokutuma hamumwogopi? Hebu tufanye hivi, tangazeni maandamo ya Kuadhimisha Miaka Miwili ya Kifo cha Mwamba Magufuli na ya Kuadhimisha Miaka Miwili ya Kuupiga Mwingi kwa pamoja halafu uone wapi watu watajaa!
 
Mbona kama wewe ndio bado hujaamini?

Huyu mtu alitungisha mimba nyingi sana hapa nchini!

Inafika hatua maiti ina nguvu kuliko walio hai! Haijawahi kutokea.
Kubali tu alishakufa huyo mungu wako Hana lolote Tena duniani
 
Miaka 2 sasa wanaoumizwa na kifo cha jpm ni wapinzani wake kuliko waliokuwa wakimsapoti.

Huwezi furahia kifo cha mwenye haki ukabaki na amani,labda Mungu awe shemeji yako.
Haki ya kupora wakulima korosho na fedha zao, haki ya kupora wafanyabiashara wa bureau fedha zao

Haki ya kuua kuteka kupoteza asiowapenda, haki ya kubambikia watu kesi na kutumia ofisi ya DPP kuhalalisha ujambazi wa kidola kupora watu na kwenda kuficha fedha china

Haki ya kufanya ujambazi 2019/2020 kupora uchaguzi na kubambikia wapinzani kesi zisizo na kichwa Wala miguu

ASHUKURIWE MWENYEEZI MUNGU ALIYEINGILIA KATI NA KUWAKOMBOA WALIOONEWA, JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE AMIN
 
Wewe ni miongoni mwa wale wasiokuwa na hekima au kichwanj wewe ni kichaa. Kauli zenu hizi zinamletea mazingira magumu sana kisiasa Rais Dr Samia. Kwa ufupi Rais Samia kura za kanda ya ziwa mpaka sasa hana kabisa na asikudanganye mtu.

Na kilichosababisha ni kauli za kijinga namna hii. Hakuna anayesema eti siasa za Dkt Magufuli zilikuwa nzuri sijui. Watu wanachoangalia ni umakini wake ktk kuendesha serikali, vitu vilifanyika kwa uwazi. Ni ngumu sana mtu aliyekuwa ana nunua mchele kilo.

Kwa shs 1200 leo hii 2500 umuambie eti Dkt Magufuli alikuwa mtu mbaya, labda uwe kichaa utajaribu kuongea hivyo. Ndiyo maana hata mbowe na genge lake wanatumia nguvu sana ila watu wanawaona nao wamenunuliwa na akili zao hazipo sawa. Kwa ufupi moto uliopo chini juu ya upinzani wa Dkt Samia ni mkubwa sana tena hali yake kisiasa ni mbaya sana kwa sababu ya kuwaendekeza mijitu kama wewe yenye kudhani kumdhihaki Dkt Magufuli unaongeza umaarufu wa Dkt Samia.
Tangia lini mwizi akafanya mambo Kwa uwazi,yule Lucifer miradi mingi aliifanya gizani mpigaji mkubwa yule
 
Ukitaka asaulike vyunja daraja la kijazi, stand zote iringa,sumbawanga, Singida, Dodoma, Mwanza, Njombe, masoko mikoa yote, hospital zote za wilayaa, machinjio ya ng'ombe, barabara zote, umeme mpaka vijijini, kidume kilivyosimamia Bwawa la Nyerere wakati wakina zito ,mbowe waliufyata Kwa wazungu kidume kikalianzisha, SGR, Daraja la Tanzanite, Daraja la Musisi , elimu bure nk app tutamsaau
Kama MWENYEZIMUNGU alimundoa yule Lucifer hawezi shindwa kwa nyie shetani ndogondogo
 
Back
Top Bottom