Wafungwa kula mlo mmoja kwa siku na hufanya kazi ngumu, hii ni haki?


Ahhahahha Dah
 
Dah tudai katiba mpya siku samia na wenzake wakifungwa ndio hapo hapo sheria zitabadilishwa
 
Ila gerezani kuna binadamu wana roho ngumu sana...
 
Ni sawa kabisa, tena wanapaswa na kutandikwa na viboko juu ili wasirudie kufanya makosa tena!
 
Afu wanakulazimisha uvae pensi hata kama miguu miembamba kama miwa
 
Kuna jamaa hapa Dar alifungwa kwa kosa la wizi wa kalamu. Siku anatoka alikuta mke wake mpenzi amezaa na best friend wake.

Ma besti Hawa tuwaangalie Sana.
 
Mume/mke akienda jela aliyeachwa ana haki ya kuomba talaka. According to roman catholic. Ukikuta kakuvumilia basi shukuru mungu
Solution ni kuoa kimwanamke kisicho na chura. Yaani akivaa Dera hujui mbele Wala nyuma
 
Kwa kweli hiyo si haki, kama watu wanafanya kazi maana yake wanazalisha, na kama wanazalisha wanapaswa wapewe angalau milo mitatu ya kushiba, maana hata wangekodi vibarua si bado wangewalipa?!
 
Pole kwa wale waliosingiziwa.....
Na mtu yoyote anaweza kuingia huko ( hata mimi).
Ila Wengi wanastahili hiyo adhabu, wengi wao ni hatari kwa raia wema.
Kumnyima mtu uhuru wake ni adhabu tosha, hiyo ya kumnyima chakula ni ukatili sasa..
 
Ipo haja ya jela watu waruhisiwe kushiriki mapenzi na wake zao, mfano sabaya unamfunga Miaka 30 bado kesi zingine still ni kijana hana mtoto kwann asipewe haki ya kutungisha mimba Ili akitoka jela akute watoto wake ni wakubwa wamfae uzeeni.
Hili jambo la Msingi sana, kwa kesi ya Sabaya ni muhimu akaruhusiwa walau kutungisha mimba hata tatu ikiwezekana, we mtu umfunge miaka 30 na hana mtoto wa umri ule kweli, ni zaidi ya uonevu, wafungwa wapewe haki ya kutungisha mimba..
 
Uhuru ni pamoja na Kula utakavyo, mda utakao.
Milo mitatu kwa siku ni haki ya binadamu yeyote, na hakuna mwenye haki ya kukuondolea, unless iwe stated specifically kwa hiyo ndio adhabu yako; either akuache ujitafutie mwenyewe, au kama amekufunga basi akuhudumie milo mitatu, maana kazi hata huko jela watu wanafanyishwa kama punda, kwanini wasilishwe ipasavyo?
 
Tunatofautiana namna tunavyowachukulia wafungwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…