Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Unaweza kuwasikiliza ukahisi biblia ndo imekataza kuzika siku hiyo hiyo kumbe ni taratibu za familia siku wakiamua wao! Mwili wa marehemu ni mali ya wahusika taratibu za kidini ni kupewa taarifa tu kuwa atazikwa siku x ili akazikwe kidini!
 
HAKIKA.
 
Mahari za kikristo ndo zikoje?? Zimeelekezwa kwenye biblia?
 
Wengine uliwapa buure kabisa, lakini muoaji ndiyo ukamrengesha akalipishwe mahali???

Halafu na wewe haukufanya jitihada yoyote ile ya kubaki na jamaa. Si bora angekuwa anakumega tu kama waliotangulia, halafu angewaachia wengine waendelee na wewe hadi foleni iishe?

Halafu hicho kiwango cha mahali ni cha kanisa gani?
 
Hamia kwao
Kila dini na taratibu zake
Mbona sisi tumewaacha mbali kwenye umiliki wa shule hospital vyuo

Hapo hujilinganishi nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo shule kwani mnasoma nyie,huwa mnachangishwa michango ya kujenga shule,lakini ikishaisha,hiyo Ada yake hamna ubavu wa kupeleka watoto zenu wakasome
 
Hizo shule kwani mnasoma nyie,huwa mnachangishwa michango ya kujenga shule,lakini ikishaisha,hiyo Ada yake hamna ubavu wa kupeleka watoto zenu wakasome
A na B yote ni sawa! Unapigwa tozo ili bi zinunuliwe, umeshawahi kuzipanda? Kauli ni nani mmiliki wa hizo shule na hospital kama mtoa kauli alivyo kaulisha
 
Kweli kabisa na mwanamke kazi yake ni kuchakatwa tuu haruhusiqi hata gengeni aende hiyo ni kazi ya mwanaume
Mbona mke mkubwa wa mtume wenu alikua mfanyabiashara mkubwa tu na Hela take ndo ilisaidia kueneza hii dini yenu. Hilo unalisemeaje

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kasome vzr kwny biblia
 
Ukiangalia hata waturuki wanafunga ndoa familia tu na marafiki wachache 10 na nguo za harusi sio lazima na vyakula ni bites tu na keki kwisha na hakuna michango wala mahari

Wazazi wa kitz sasa ukiwaambia umepata mchumba cha kwanza unaulizwa anafanya kazi wapi?
Mahari kubwa
Michango kila kona inabidi tuache hizi tabia aisee tufanye vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu tu
 
Kuna watu huwa wanafanya dhihaka kuwa waislamu mahari ndogo na bla bla kibao,hawajui lengo ni kufanya ndoa iwe nyepesi ili watu wafunge ndoa waepuke zinaa, lkn upande wa pili kwakuwa hamuogopi dhambi huwa mnadunda Tu.
Katika ukristo hakuna ishu ya mahali, ishu ya mahali ni ya utamaduni wa mahali husika sio ya kidini ni kimila.
Ukristo hauna mahali na suala la ndoa ni jepesi ila tamaduni za jamii husika na mazoea ya kutenda ndio shida.
 
Unalazimisha A iwe B mkuu? Umekataa kuelewa makusudi unataka nn zaidi? Kuna ndo ya Kikristu umewah ona imevunjwa kanisani kisa mmoja Kati yao kafumaniwa? Usipende kubishana Vitu visivyo vya Imani yako mkuu
Uelewe ndoa havunjwi na kanisa wala msikitini ndoa inavunjwa na mahakama tu , ao wengine ni washahuri tu , wanashauri ukitoka apo unaenda mahakamani ndio wanatoa talaka
 
Uelewe ndoa havunjwi na kanisa wala msikitini ndoa inavunjwa na mahakama tu , ao wengine ni washahuri tu , wanashauri ukitoka apo unaenda mahakamani ndio wanatoa talaka
Ifungwe Kansan ama msikitini then ivunjwe mahakamani inamake sense kwl?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…