Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Unaweza kuwasikiliza ukahisi biblia ndo imekataza kuzika siku hiyo hiyo kumbe ni taratibu za familia siku wakiamua wao! Mwili wa marehemu ni mali ya wahusika taratibu za kidini ni kupewa taarifa tu kuwa atazikwa siku x ili akazikwe kidini!Simu ya tsh 30,000. Haiwezi kuwa na thamani sawa na simu ya 300,000. Ukimpenda utamgharamia, na ukimgharamia UTAMTHAMINI. Ndg zetu waislamu pesa ni tatizo kubwa kwa BAADHI yao. Juzi niliona clip moja masheikh wanalalamika sadaka msikitini hazieleweki, tofauti na makanisani ambako wachungaji wanamiliki magari nk. Kuoa mtoto wa mtu kwa laki moja hiyo ni DHARAU, ndiyo maana huwa hawawathamini. Kwenye maziko, ni utaratibu tu. Wengine wanaweza kusubiri ndg, watoto wa marehemu nk.