Dakarai
JF-Expert Member
- Jan 17, 2023
- 671
- 1,245
And you are a black man whose defence mechanism kicked in to protect arabs.Ok Leonardo Da Vinci you are the smartest guy alive,any relief ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And you are a black man whose defence mechanism kicked in to protect arabs.Ok Leonardo Da Vinci you are the smartest guy alive,any relief ?
Hapana this is not about proctecting arabs tunajibu maswali kama yanavyokuja ila ukiangalia mtiririko wa mada ni kwamba mada ilivyoanza na inavyoendelea ni kama sion hoja za msingi yaan likijibiwa hili linazuka jingineAnd you are a black man whose defence mechanism kicked in to protect arabs.
Wa ku judge kwamba hayana maana hauwez kuwa wewe kwa kuwa sio mlengwa as long as yapo bas walengwa wameona maana yake ni kama vile muislam aseme kina Mwamposa na Kiboko ya wachawi wafungiwe hawana msaada kwa jamii.Hayo mashindano hayana maana yoyote ikiwa wanaoshindana na wanaoandaa , na wanaohudhiria mashindano hawaelewi maana. Nguvu nyingi ingetumika kuwafundisha waislam waielewe Quran na waitumie kama muongozo wa dini
Kutokuwa na maana haimaanishi kwamba yafungiwe, unaweza tu kuwaacha watu waendelee na mambo yao ya kujifurahisha ilimradi hayana madhara kwa wengine na pia kwa ajili ya kutunza amani.Wa ku judge kwamba hayana maana hauwez kuwa wewe kwa kuwa sio mlengwa as long as yapo bas walengwa wameona maana yake ni kama vile muislam aseme kina Mwamposa na Kiboko ya wachawi wafungiwe hawana msaada kwa jamii.
MngoniQuran imeandikwa kiarabu ila kiarabu si Quran maandishi ya kiarabu yanatofautiana na ya kwenye Quran kwa kuwa huwa hayana irabu(aeiou) kwa hyo anaesoma Quran tupu hawez kusoma kiarabu unless amesoma kiarabu ama kwa lugha nyingine kiarabu kinasomwa kwa kujua maana na muundo wa maneno.
Huna hatimiliki na dini na pia hapa sio msikitini au kanisani kwamba kila kinachosemwa na muumini wa dini husika ndivyo kilivyo hakiwezi kuhojiwa zaidi au kuonekana hakina mashiko.
Kwa logic hii kila anayepita daraja la Kigamboni kadumbukia Baharini?Aya inaeleza wazi waislamu wote watakwenda motoni, kwa nini tuhitaji maelezo ya wanazuoni? Au umeshasahau Qur'an ni kitabu kilichokamilika kisicho na shaka yoyote?
Ndo maana nikasema wa kusema hayana maana hauwezi kuwa wewe kwa kuwa sio mlengwa siku walengwa wakona hayana maana watayaacha ama kuyaboresha kwa sasa hili kwako ni kama ile pilipili ya shamba yakuwashia nnKutokuwa na maana haimaanishi kwamba yafungiwe, unaweza tu kuwaacha watu waendelee na mambo yao ya kujifurahisha ilimradi hayana madhara kwa wengine na pia kwa ajili ya kutunza amani.
Japo sipendagi kushiriki hii midahalo ila hili swali ni la kijinga ! Ila ntakujibu as a polyglotBado sijaelewa unatofautisha vipi Kiarabu na lugha iliyoandikwa quran,
Hata usiende mbali huko mtafute huyu huyu mpe Interview ya Harry kane kama clip ya dakika moja halafu aseme kaelewa maneno mangapi, bila subtitle.Japo sipendagi kushiriki hii midahalo ila hili swali ni la kijinga ! Ila ntakujibu as a polyglot
Old English inafanana na English ya saivi?
Kiarabu kuna Modern standard arabic na classical arabic. Huwezi kufananisha Arabic ya karne ya 6 na arabic ya sasaivi.
Qur-an ni classical Arabic sio hii Arabic ya saivi, unaweza kusoma classical Arabic and still barely communicate with the natives! Hata ukisoma MSA bdo kuna baadhi ya native Arabic speakers ukashindwa kuzungumza nao! Mbona ni kawaida sana kwenye lugha mkuu?
Kwamba wanaosoma madrasa wanafundishwa na wanaelewa classical Arabic ndio maana hawawezi kuwasiliana katika modern standard Arabic bila kujifunza tena kiarabu cha kisasa?Japo sipendagi kushiriki hii midahalo ila hili swali ni la kijinga ! Ila ntakujibu as a polyglot
Old English inafanana na English ya saivi?
Kiarabu kuna Modern standard arabic na classical arabic. Huwezi kufananisha Arabic ya karne ya 6 na arabic ya sasaivi.
Qur-an ni classical Arabic sio hii Arabic ya saivi, unaweza kusoma classical Arabic and still barely communicate with the natives! Hata ukisoma MSA bdo kuna baadhi ya native Arabic speakers ukashindwa kuzungumza nao! Mbona ni kawaida sana kwenye lugha mkuu?
Mtoa mada alijaribu kusugarcoat maelezo hakutaka kwenda direct.Hapana this is not about proctecting arabs tunajibu maswali kama yanavyokuja ila ukiangalia mtiririko wa mada ni kwamba mada ilivyoanza na inavyoendelea ni kama sion hoja za msingi yaan likijibiwa hili linazuka jingine
Imeletwa mada na tumejibu ulitaka tufanyaje? Inaonekana furaha yako ni kuona tumeshindwa kujibu au tunajibu kwa hasira ila bahati nzuri tunawapa majibu kiungwana tu wala hatupanikiMtoa mada alijaribu kusugarcoat maelezo hakutaka kwenda direct.
Hoja yake ilikuwa wazi sana sema tu ile watu kuwa watetezi wa kitu wanachoamini ndio maana unaona yanazuka mengi. Na utetezi wa wengi umebase kwenye vitu vya kufikirika.
There is nothing worth of defending bro.
I speak As a pro black man not under any religious group.
Hivi huwa mnajisiaje mkuu mnapobishana kutetea dini zenu?
Sasa kitabu ukikisoma kinafahamika kirahisj kitabu hicho mwandishi akina atakuwa Nyerico Nyenyere . Kitabu kilichoandikwa kitaalam ufahamu wake pia unahitaji utulie ili ukifahamuMkuu unadhihaki basi tu ila deep inside unajua wazi kabisa Mkristo aliyesoma Kingereza Biblia anasoma vizuri tu na hata lugha anaongea na kuelewa japo sio kwa asilimia mia ila mawasiliamo yanafanyika vizuri.
Fanya homework mtafute Muislamu aliyesoma Kingereza mpe Bible uone kama atashindwa kusoma na kuelewa. Akimaliza mpe gazeti la kiarabu halafu leta mrejesho.
Unachotakiwa kufahamu! Lugha ya kiarabu ina lahaja nyingi kama Maghreb, hasaniyya, egyptian, syrian, na kadha wa kadha. MSA ni standardized version ya kiarabu hata natives wengi (isipokuwa wasomi) pia hawaongei ijapokuwa kwa kiasi flani mnaweza kuelewana, na ukienda nchi zinazozungumza kiarabu only wale educated ndo unakuta wanazungumza MSA.Kwamba wanaosoma madrasa wanafundishwa na wanaelewa classical Arabic ndio maana hawawezi kuwasiliana katika modern standard Arabic bila kujifunza tena kiarabu cha kisasa?
Ukisoma madrasa unafundishwa na lugha ya kiarabu ili ukijue vizuri inabidi usiishie njiani na usome zaidi nje ya madrasaBadilisha simu yako kwenda arabic, halaf mpe aitumie kama ataweza
Utagundua wengi wanakariri lakini si kuelewa lugha yenyewe
Ni wachache sana wanao elewa hiyo lugha