Waislamu wako vizuri kwenye suala la ndoa

hao ni akina raheli wa zamani
jichanganye wakina raheli wa sasa utakubali
 
😂😂😂😂😂😂Mi wifi yako kwa mzabzab au sio?si niataachika siku ya nne ya ndoa?maana hizo harakati zake Kama Dr pimbi mi nitaziweza wapi?
Nuzulati unaona wifi yako anaanza kuongelea ya nyuma wakati wote tunakutana hatuna bikra sasa tugange ya jayo mrembo.
Ebu ongea nae wifi yako
 
We Dr loverlover nitakuwezea wapi?
Utaweza tuu tena mie wala sina mengi wee cha msingi nikitoka job unipokee ukiwa na khanga moko tukilala uwe uchi kabisa kula unilishe nishibe sihitaji mengi toka kwako.
Wee umechaguliwa na wifi mstaarabu kuliko wote hapa jf alafu unarunga shauri yako
 
Wifi mstaarabu wenyewe nampendaga,anataka nisitirike na Mzabzab😂😂😂
 
Mimi nikiona wimbi la wanawake wa kiislamu wanaisifia hiyo dini ndio nitaamini hiyo dini nzuri kila siku kelele zinatoka kwa wanaume tu
 
Msisingizie dini bwana. Hayo ni mapenzi yenu wenyewe. Unaweza kuoa simple tuu ukiwa mkristo bila shida yoyote. Tatizo wengi wetu tunafanya harusi ndio muhimu baadala ya ndoa kiwa muhimu.
Hawa jamaa vilaza achana nao
 
Wifi mstaarabu wenyewe nampendaga,anataka nisitirike na Mzabzab😂😂😂
Wifi anakutamia mema huyo. Tumpe raha wifi yetu apate kupiga vigelegele bwana. Wee huoni kuwa ni jambo jema wote tunakuwa tumeachana na uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…