Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

Umeandika nini? Kwamba ndugu za makamu wa rais wajitokeze kudai ametekwa? Huwa una matatizo ya akili.
EeeenHEEeeeehhh!

Huyo ni 'Idugunde'! bado anatafakari na kukumbuka niliyomfunza miezi kadhaa iliyopita.

Endelea tu hivyo hivyo taratibu mwishowe utaona jinsi ulivyokuwa mpumbavu nilipokutaarifu kuwa hali hiyo ndiyo inayokusumbua.
Itachukuwa muda, lakini najuwa mwishowe utajitambua tu kwamba wewe ni mpumbavu.!
 
Ametekwa?
 
Jamani, mbona mnazungusha mambo hivi? Warioba wenu alishawaambia ni kweli aliandika kujiuzulu,mnataka muambiwe na nani tena ?
 
Mimi niko tofauti kidogo, mtu kama Nchimbi, Polepole sina msaada watajua wenyewe... kila nikiwa na energy flani ya huruma naipeleka kwa Tundu Lissu, Mdude... mtu unakaa unamhurumia Humphrey Polepole aliyejikaanga na mafuta yake mwenyewe..
 
Unajichoshaga na maswali yasiyo na kichwa wala miguu. Mbona barua yake ya kujiuzulu ilisambaa mitandaoni. Suala la kutoonekana hadharani inawezekana ni uamuzi wake binafsi. Kwani we ulishawahi kuonekana hdharani? Nenda nyumbani kwake au waulize ndg zake
 
Hivi kuna sehemu yeyote kwenye KATIBA imetamkwa Barua ya VP kujiuzulu ipelekwe kwa nani?View attachment 3660111

Na kwanini Rais aridhie kujiuzulu kwa mtu ambaye alipigiwa kura kama mate na sio kwa teuzi ya barua?
kwa fasta fasta hakuna , ila kwa kua inatambua makamo anaweza jiuzulu , kwa hali iliyopo naona utaratibu ni barua kwenda kwa rais, waliobobea watatusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…