Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Poa sana mdogo wangu,,,nakuona ukiwa na furaha tele as usual😂😂😂 Sawa..
Vipi lakini uko poa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa sana mdogo wangu,,,nakuona ukiwa na furaha tele as usual😂😂😂 Sawa..
Vipi lakini uko poa?
Ww umevunja ngapi. ? Mimi Najua moja ya ndugu yakoAngel kavunja ndoa 4🙄🙄🙄🙄🙄mbona kama uongo..... Anyways hata wewe una makandokando yake ni vile tu hatukujui punguza judgement
Wana akili za ajabu hawa viumbeMwanamke akipata mafanikio kiuchumi anataka kuwa huru(kuishi bila masharti), wakati mwanaume akiwa na mafanikio kiuchumi anataka kuwa na watu pembeni yake wafaidi jasho lake pamoja.
That's the only difference.
Yeah ka kaida niko na good vibe..Poa sana mdogo wangu,,,nakuona ukiwa na furaha tele as usual
No sikufungiwa Kuna jambo lilikuwa linanihitaji umakini mkubwa,nilitakiwa ni nitoe muda mwingi kimwili na kiroho,nikaona ni vema kuwa offline kidogo. .But nashukuru limepita am backYeah ka kaida niko na good vibe..
Ulifungiwa wapi siku mbili hizi haukuwepo😃
Nimefurahi kukuona Tena big ciccy 🌹❤️No sikufungiwa Kuna jambo lilikuwa linanihitaji umakini mkubwa,nilitakiwa ni nitoe muda mwingi kimwili na kiroho,nikaona ni vema kuwa offline kidogo. .But nashukuru limepita am back
Kwasababu ni case chache sana ambapo mwanaume ataamua kutengana na mkewe kwasababu zisizoeleweka ila katika hali ya kawaida ni wanawake huwa na tabia ya kuvunja mahusiano au kunzisha vagi lisilo na kichwa wala miguu pale wanapoona maslahi yao yapo rehani.Hivi hii kasumba ya ndoa ikivunjika anaonekana mwanamke ndio ana makosa itaisha lini?
Sikatai katika hao huenda kuna baadhi walivunja nyumba zao kwa mikono yao ila hatuwezi kuwasema wote, ndoa zina mengi na kama watu walioana kwa mapenzi hadi wanafikia kuachana kuna sababu nzito bila kujali ni upande gani.
Rose ana pesa yule saiv..Kama ni Rose nadhani alielezea namna alivyokuwa akinyonywa maslahi yake na meneja wake
Hahhahahaha mkono wa baunsa….utamu ulivyomjia nusu aanguke kama bata hahahaha😂😂😂😂😂Nmemkumbuka baba askovu gwajima miuno feni
Nipo sanaaaa❤️❤️❤️Nimefurahi kukuona Tena big ciccy 🌹❤️
Nikikutajia idadi zitakusaidia Kwa namna yeyote?Ww umevunja ngapi. ? Mimi Najua moja ya ndugu yako
Na kwanini huwa mnahisi mnatakiwa kubadilishwa tabia zenu mbovu na wake zenu, kwahiyo huwa mnafanya hayo maovu makusudi kwa kisingizio kwamba ni jukumu la wake zenu kuwabadilisha, yani wazazi wenu wanashindwa kuwalea vizuri mnakuwa watu wazima na tabia za hovyo halafu mnataka muwabebeshe mizigo watoto wa watu be responsible aseeMlevi mzinzi, mwizi, n.k hubadilishwa na mwanamke mwenye hekima
Na yeye sasa hivi analiwa kinyeo na mchwa kaburini.hata Spika Sitta alimla sana
Kaishi na mumewe mpk anafarikijenipha mgendi
😀😀Mkuu kawaida tu sio snTayana una folders zakutosha juu ya hizo namba za mtoa mada ...
Ushawahi kumuona live?shusho jamani yule dah ipo siku
🤣😀JmnSasa hao si kabla haja janjaruka.. kwasasa ambavyo kashakuwa certified seller, huwez kumtundika mimba hata iweje