Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

Fortilo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
5,807
Reaction score
17,416
Wakuu Salam,

Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?

Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?

Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.

Tizama video ya magari yaliyotupwa👇

======
Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 leo April 14,2023 ambapo amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, TAMISEMI imetengewa Tsh. Bilioni 16.58 kwa ajili ya ununuzi wa magari 81 katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa “Kati ya magari hayo, magari 5 ni ya Wakuu wa Mikoa, magari 2 ni ya Makatibu Tawala wa Mikoa na magari 74 ni ya Wakuu wa Wilaya”

Waziri Kairuki pia amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, Ofisi ya Rais - TAMISEMI imetengewa Shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya ununuzi wa boti 4 katika Halmashauri za Wilaya za Ludewa, Buchosa, Nyasa na Sumbawanga ili kuimarisha doria, ulinzi na ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Halmashauri hizo.

“Hadi Februari, 2023, Tume imepokea Shilingi Bilioni 7.83. Majukumu yaliyotekelezwa ni pamoja na kusajili walimu 9,800, kupandishwa vyeo walimu 1,003, Walimu 3,347 wamethibitishwa kazini na Walimu 3,388 wamebadilishiwa vyeo”

“Kuhuisha TANGE za walimu kwenye Wilaya zote 139, vikao 300 vya mashauri ya nidhamu kwa walimu vya kisheria vimefanyika, Mashauri 273 ya nidhamu ya walimu yamefanyiwa uchunguzi na kuwasilishwa kwenye Kamati za Wilaya kwa ajili ya kutolewa uamuzi”
 
Attachments

  • Screenshot_20230414-121424_Twitter.jpg
    Screenshot_20230414-121424_Twitter.jpg
    233.3 KB · Views: 4
Wakuu Salam,

Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?

Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?

Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.

Tizama video ya magari yaliyotupwa👇
Mkuu, wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 walipewa matumaini kuwa hali ya kifedha ikiwa mzuri watapewa posho ya uzee walau ka laki kamoja kwa mwezi.. Bado wanasubili, na watasubili sana maana hicho sio kipaumbele kwa sasa. Hivi hawa wazee wana Wizara yao inayo walinda kama walivyo vijana, watoto n.k.
 
Mkuu kwa hilo sahau,
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Angellah Kairuki, amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, TAMISEMI imetengewa kiasi hicho kwa ajili ya ununuzi wa Magari 81.

Kairuki ameeleza mgawanyo wa Magari hayo utawahusu Wakuu wa Mikoa Magari 5, Makatibu Tawala wa Mikoa Magari 2 na Magari 74 ni ya Wakuu wa Wilaya.
 
Mkuu, wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 walipewa matumaini kuwa hali ya kifedha ikiwa mzuri watapewa posho ya uzee walau ka laki kamoja kwa mwezi.. Bado wanasubili, na watasubili sana maana hicho sio kipaumbele kwa sasa. Hivi hawa wazee wana Wizara yao inayo walinda kama walivyo vijana, watoto n.k.
Huko ngojeni kwanza

Ova
 
Wakuu Salam,

Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?

Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?

Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.

Tizama video ya magari yaliyotupwa[emoji116]
View attachment 2587446

======
Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 leo April 14,2023 ambapo amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, TAMISEMI imetengewa Tsh. Bilioni 16.58 kwa ajili ya ununuzi wa magari 81 katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa “Kati ya magari hayo, magari 5 ni ya Wakuu wa Mikoa, magari 2 ni ya Makatibu Tawala wa Mikoa na magari 74 ni ya Wakuu wa Wilaya”

Waziri Kairuki pia amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, Ofisi ya Rais - TAMISEMI imetengewa Shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya ununuzi wa boti 4 katika Halmashauri za Wilaya za Ludewa, Buchosa, Nyasa na Sumbawanga ili kuimarisha doria, ulinzi na ukusanyaji wa mapato ya ndani katika Halmashauri hizo.

“Hadi Februari, 2023, Tume imepokea Shilingi Bilioni 7.83. Majukumu yaliyotekelezwa ni pamoja na kusajili walimu 9,800, kupandishwa vyeo walimu 1,003, Walimu 3,347 wamethibitishwa kazini na Walimu 3,388 wamebadilishiwa vyeo”

“Kuhuisha TANGE za walimu kwenye Wilaya zote 139, vikao 300 vya mashauri ya nidhamu kwa walimu vya kisheria vimefanyika, Mashauri 273 ya nidhamu ya walimu yamefanyiwa uchunguzi na kuwasilishwa kwenye Kamati za Wilaya kwa ajili ya kutolewa uamuzi”
Kwani hizo pesa mtazikwa nazo? Sauti ya mama
 
Uthibitisho wa hio gari kutupwa ni upi hapo sasa huyo jamaa anayechukua vid sidhan kama anatosha kudhibitisha hilo
Ukiangalia anasema imekaa miezi 3 sawa lkn haina hata vumbi ina maana kuna mtu anaingalia
 
Mkuu, wazee wenye umri zaidi ya miaka 60 walipewa matumaini kuwa hali ya kifedha ikiwa mzuri watapewa posho ya uzee walau ka laki kamoja kwa mwezi.. Bado wanasubili, na watasubili sana maana hicho sio kipaumbele kwa sasa. Hivi hawa wazee wana Wizara yao inayo walinda kama walivyo vijana, watoto n.k.
Halafu utakuta walikuwa wanoko makazini wakitegemea kupewa tuzo
 
Magari mazima kabisa yameegeshwa ili wauziane land cruiser bei ya bajaji. Nchi hii bila CCM kutoka madarakani tutaendelea kuumizwa sana.
Hakuna mwafrika anaeweza mletea maendeleo mwafrika mwenzake hata umoja part wakishika dola, we ukipata kitengo kwapua jela inawaogopa mafisadi jela ni kwa ajili ya masikini, ukiwa na pesa unachagua hukumu.
 
Magari mazima kabisa yameegeshwa ili wauziane land cruiser bei ya bajaji. Nchi hii bila CCM kutoka madarakani tutaendelea kuumizwa sana.
Niliwahi kutaka kununua Nissan patrol mayai kwa milion 7 nikazidiwa ujanja wa watoto wa mjini
Ile gari ilikuwa na shida kwenye mfumo wa mafuta na ilipopelekwa D.T. Dobie makisio yakawa over 20 million kuitengeneza
Kwa kawaida serikali ikishapokea makisio ya namna hiyo huwa hawahangaiki tena kutengeneza kwakuwa ikishaandikwa over 20 maana yake inaweza kufika hata 50M

Basi bwana fundi wa karakana akanimegea siri kwamba ile gari ni nzima kabisa isipokuwa mpira wa mafuta toka kwenye tank kwenda kwenye engine ulikuwa umefinywa kwenye body na chasis, kuna siku walinyanyua body wakati wa kurudisha wakafanya uzembe pipe ikafinywa kidogo
Kwahiyo mfumo wa mafuta ukawa haufanyi kazi vizuri.. Akaniambia matengenezo yake hayazidi elfu 20.. Sikuamini.. Na yeye alikuwa anataka 1m tuu
Chelewachelewa utamkuta mtoto si wako, kusita na kujivutavuta kwangu, nafika eneo la tukio nakuta gari inavutwa, biashara ilishawahiwa . Yule fundi alinichukua mpaka garage moja pale Ilala kushuhudia alichosema...
Huwezi kuamini ndani ya lisaa gari ilikuwa sawa tunapiga nalo misele

Asilimia 90 ya magari ya serikali yanayoitwa mabovu matengenezo yake hayazidi milion 5
 
Back
Top Bottom