Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mda tukubali mwafrika ni mtu mbinafsi na mwenye upeo mdogo sanaWaziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Angellah Kairuki, amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24, TAMISEMI imetengewa kiasi hicho kwa ajili ya ununuzi wa Magari 81.
Kairuki ameeleza mgawanyo wa Magari hayo utawahusu Wakuu wa Mikoa Magari 5, Makatibu Tawala wa Mikoa Magari 2 na Magari 74 ni ya Wakuu wa Wilaya.